Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Kagame apigwe, kagame apigwe inaimbwa Kila mahala.
Wazee pale Msumbiji paliwaka moto na wale IS hakuna aliyeenda, SA karibu tu pale lakini hawakutoka kwenda, SADC Ilikuwa kila siku vikao. RPF wamekwenda wamepatuliza.
Kule Benn DRC, M7 yupo kule anakamua hakuna anayenyanyua mdomo.
Sudan watu wanauana kufuru, AU Iko kimya, Libya hakuna aliyetia miguu ni vikao tu mwanzo mwisho.