rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
Alienda jeshini kifanyaje? Jeshini hamna mgomo. Kazi iendeleeWe mpumbavu Sana
Mnachukua watoto wa masikini mnawapeleka vitani ili wakauliwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alienda jeshini kifanyaje? Jeshini hamna mgomo. Kazi iendeleeWe mpumbavu Sana
Mnachukua watoto wa masikini mnawapeleka vitani ili wakauliwe.
Sasa Mpo Uwanja Wa Vita Na Hamjajipanga Unataka Mfanywe Nine Zaidi Ya Kubondwa Na Waliojipanga Haijalishi Wana NguvuWatu Au La??Vita Haina Droo,,Vita Ni Akili Zaidi Na MbinuKagame hata apewe silaha za aina gan, Manpower yake ni ndogo, anapigika huyu.
Mbinu anayotumia ni Offensive za harakaharaka kabla majeshi yetu hayana muda wa kujipanga.
Umeliona katazo la DRC kwa raia wao kuvuka maji kuja TZ? Hasa kama sio mfanyabiashara, kisa una kimbia vita.Unajua sehemu gani ya Congo hivyo vita vinapiganwa??
Umewaona wakimbizi wowote wa Congo mpaka sasa hivi hapa nchini??
Taswira ya nchi yetu inaathiriwaje na vita vya Congo?
Nani aliipa mamlaka Tanzania kuwa police wa nchi za maziwa makuu?
Watu washajijengaa wanafikiria ni wale wa zamani
Ova
Wako vzr wamejipanga muda tuUmeona jamaa wamejipanga sana siyo kabisa wale tuliowapiga zamani ,wamewakalisha askari kutoka ubeberuni na wakawafurusha kupitia mpaka wa Rwanda kurudi kwao na wamewaambia wakirudi tena wanachoma mshikaki...Inasikitisha kupoteza askari wetu wawili.
Ila unaelewa kwanini wanaenda kupigana vita ambayo haiwahusu?sijaelewa, damu ya wabongo imemwagwaje.
Amani ni lazima ipatikane Kwa Nguvu .Tunashadadiabsana vita kuliko amani.
Kwa nchi maskini kama yetu hatupaswi kuweka kipaumbele mambo ya vita.
Mimi ni Daktari, ikiwa Jeshi litanihitaji kwenda kusaidia na kutoa mchango wangu kupitia Taaluma yangu, Nitakwenda .Tangulia front line wewe.
Unaenda front lineMimi ni Daktari, ikiwa Jeshi litanihitaji kwenda kusaidia na kutoa mchango wangu kupitia Taaluma yangu, Nitakwenda .
Nenda kajiunge na jeshi la Congo au wanaMgambo wanaoiunga nkono serikali upigane.
Uliishawahi hata kupiga kwata tu achilia mbali kupitia mafunzo ya uaskari?
Pamya Roa tu wanakutoa kamasi.
Kampeni za Twitter zimehamia humu.
Kweli ni muhimu mafunzo ya JKT yangerejeshwa kwavijabna wote wanaomaliza form six na vyuo vya kati tena yawe ya mwaka mmoja, kama enzi zetu iki angalau wajue nini maana ya vita.
Athari za vita ya Uganda kwa kuwa hukuiona endelea kushabikia maana unadhani Tanzania ikiingia vitani hautahusika au kuathirika.
Naijua vita wakati wewe huijui; wakati wa, vta,ya Uganda,ulikuwa hujazaliwa madhara yake huyajui pia hujapita jeshini hata ku crow tu hujui .Ndo umetumwa na Kagame kuleta propaganda humu? Mwambie Kagame na M23 yake their days are numbered
Utulivu gani aliowakosesha PK ?Kwa manufaa ya Utulivu wa Nchi za maziwa makuuu, Manufaa ya kimkakati Nchini kwetu, Taswira ya Nchi yetu Duniani, na Kwa wakongo wenyewe.
Vita Ndani ya Kongo , ni Mzigo Tanzania.
Umewaza juu ya wakimbizi ??
Naamini General Nkunda hawezi kukubali ujinga wa M23 kuua askari wetu watazoea washikishwe adabu tuogopane na kuheshimiana.Vita ipo mashariki ya Kongo.
Wakimbizi wapo, na kama vita hii haitasimamishwa Kwa Rwanda kupigwa, maana yake wako wengi watakimbilia kwetu.
Tanzania ndio Baba la Amani ,linalogawa Amani kwa Mataifa ya kiafrika , Ushindi wowote wa Rwanda Kwa DRC ni kufufisha Imani ya mataifa mengi ya kiafrika, Ushindi wa Rwanda Kongo maana yake ni kuwaruhusu na wale jamaa waanzishe Chokochoko za Ziwa Nyasa.
Mamlaka hii tunaipa sisi wenyewe Wananchi.
Naamini General Nkunda hawezi kukubali ujinga wa M23 kuua askari wetu watazoea washikishwe adabu tuogopane na kuheshimiana.Vita ipo mashariki ya Kongo.
Wakimbizi wapo, na kama vita hii haitasimamishwa Kwa Rwanda kupigwa, maana yake wako wengi watakimbilia kwetu.
Tanzania ndio Baba la Amani ,linalogawa Amani kwa Mataifa ya kiafrika , Ushindi wowote wa Rwanda Kwa DRC ni kufufisha Imani ya mataifa mengi ya kiafrika, Ushindi wa Rwanda Kongo maana yake ni kuwaruhusu na wale jamaa waanzishe Chokochoko za Ziwa Nyasa.
Mamlaka hii tunaipa sisi wenyewe Wananchi.
Hili ni somo kwa JWTZ fanyeni SWOTanalysis ya mazingira ya kiusalama kanda ya maziwa makuu tuone uwezo wetu, nguvu ya kijeshi teknolojia, fursa na matishio vinginevyo tuwe na missiles za kisasa, drones, na vifaa vya kisasa. tuwekeze kwenye sayansi ya vita na ulinzi badala ya kujenga mabarabara tu. Kama taifa kipaumbele kibadilike kiwe ni uimarishaji wa jeshi letu.Hali si nzuri jeshi tulitenge na mambo ya siasa za ndani za upinzani liegemee kwenye weledi na utaalam. Nchi yetu inanyemelewa na maadui wa nje na ndani.Tujifunze kitu kwa Mozambique,DRC nk.Kwa usalama wa nchi za Maziwa makuu na ustawi wa Tanzania, Kagame apigwe au apinduliwe