Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
Anaandika Mjumbe wa Mkutano Mkuu
===
"Mbowe na wote wanaogawa rushwa natangaza kuwafuta katika Ulimwengu wa Kiroho na natangaza hawatashinda wale wote wanaogawa rushwa.
Natangaza Lissu & Heche kwa sababu ya haki Watashinda kwa kura nyingi sana Kwakuwa Mungu wetu ni Mungu wa haki.
Nataka mjue tu Mungu yupo na anajibu kwa haki rushwa sio haki"