Kwakuwa kesi ya Mbowe iliishia njiani na inaweza kurejeshwa, Kingai aisuke tena

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kesi ya Mbowe iliondolewa kwa nolle prosequi, serikali ikiondoa kesi kwa mfumo huo, inaweza kuirejesha.

Sasa Kingai ndio Yuko jikoni akikarangiza upelelezi. Ikimpendeza aisuke ili twende raundi ya pili
 
Kuna msemo unasemwaga kwamba Police Ni Mbwa.

Maana yake kazi Yao Ni kupokea Amri.

Utakuta Kingai aliagizwa aandae au aratibu mkakati wa kumuadabusha Mbowe. Hata Kama yeye hakupenda huo mpango.

Mambo mengine tuyaache tu, wakati Ni Mwalimu mzuri.
 
Ugumu wa maisha hapa TZ unaweza kuwa uligongwa na gari siku nyingi na umelazwa MOI Halafu wewe mwenyewe hujui,Mleta mada hii hatupo Naye hapa JF
 
Kesi ya Mbowe iliondolewa kwa nolle prosequi, serikali ikiondoa kesi kwa mfumo huo, inaweza kuirejesha.

Sasa Kingai ndio Yuko jikoni akikarangiza upelelezi. Ikimpendeza aisuke ili twende raundi ya pili
Bahati Mbaya Jamhuri ilishafunga ushahidi wake
 
Vipi afande Swila aliyemkana mtu mchana kweupe yeye hajakumbukwa?
 
Kesi ya Mbowe iliondolewa kwa nolle prosequi, serikali ikiondoa kesi kwa mfumo huo, inaweza kuirejesha.

Sasa Kingai ndio Yuko jikoni akikarangiza upelelezi. Ikimpendeza aisuke ili twende raundi ya pili
Amkamate na mumeo pia
 
Kesi ya Mbowe iliondolewa kwa nolle prosequi, serikali ikiondoa kesi kwa mfumo huo, inaweza kuirejesha.

Sasa Kingai ndio Yuko jikoni akikarangiza upelelezi. Ikimpendeza aisuke ili twende raundi ya pili
Akili za panzi
 
Mwache afurahie utamu wa cheo kipya, kwani yeye hajui kuwa kuna kudhalilika tena wakirudi mahakamani kwa kesi ile ya mchongo, hapo alipo sasa ana uhakika hataulizwa mambo ya PGO and the like, kile kibano cha akina Kibatala and company si cha kitoto.
 
Back
Top Bottom