GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), limetoa msimamo wake kuhusu Rais John Magufuli kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa msikiti akiwa kanisani, likieleza kuwa kitendo hicho ni cha uzalendo, upendo na uungwana.
Nipashe
Atakayewalaumu Waislamu kwa hili nitamshangaa sana kwani kama tayari Taasisi nzima imeshawekwa Mfukoni na hapo hapo bado kuna Faida ya Kiuchumi inapatikana, utaanzaje kwenda Kinyume na Mhisani wako mkubwa? Ila kwa Waislamu ambao nakutana nao Kitendo hiki Kimewakwaza ile mbaya na kuhisi Kudharauliwa na hadi Kudhalilishwa, ila wamechagua tu Kunyamaza na Kuendelea na Dua zao huku wakimuchia tu Allah.