Kwakuwa Msikiti wenu mkubwa bado haujakamilika, ningeshangaa sana kama mngekuja na Tamko la Kupinga

Kwakuwa Msikiti wenu mkubwa bado haujakamilika, ningeshangaa sana kama mngekuja na Tamko la Kupinga

Ahssante na shukran kwa taarifa..
Mojakwamoja bila kuweka sintofahamu :-
Kuchangiwa au kusaidiwa msaada wa mali (fundraising)au nguvu kazi (main power) au materials (vifaa ujenzi) ktk kuimarisha au ujenzi wa Msikiti (nyumba ya Mwenyezi-Mungu au jengo la kufanyia ibada) hiyo amali ni tendo zuri lenye kheri na linakubalika kbs ktk akida na imani ya kiislam.

Jamhuri ya madehebu inatambua michango ya aina hiyo since awali uislam ulipozaliwa na hadi kufikia leo.
Matokeo mbalimbali ya ngawira na mafanikio ya kiislam yaliweza hata kununua nyumba za ibadaa za "*ahlu al kitab, almushrikina nk nk*" na baadae kuvigeuza kuwa misikiti....
Pamoja na hayo Muislam anaruhusiwa kuswali ndani ya kanisa ilimradi aelekee Qibla !!
FYI.. hadithi zinadhihirisha na ayaat za Qur'an zinathobitisha.

Tafadhali tusijumuishe au kujumlisha wazo la kundi kwa waislaam waelewa tuliyo Umma mkubwa.
Hiv unajua kanisan kuna Masanamu na picha? Swala gani itakubaliwa ukiswali mbele ya Masanamu picha na misalaba? Hiii ni uongo na huruhusiwi had uviondoe vyote vinavyoweza kubatilisha swala, zaman makanisa yaligeuzwa kuwa misikiti na kuondolewa picha na sanam ndo watu wakaruhusiwa kufanya ibada
 
Hiv unajua kanisan kuna Masanamu na picha? Swala gani itakubaliwa ukiswali mbele ya Masanamu picha na misalaba? Hiii ni uongo na huruhusiwi had uviondoe vyote vinavyoweza kubatilisha swala, zaman makanisa yaligeuzwa kuwa misikiti na kuondolewa picha na sanam ndo watu wakaruhusiwa kufanya ibada
Unajua huwezi kuswali bila kitia nia, hivyo Mungu huwa anaona uposwali, tunachokifuata msikitini ni jamaa, vingivyo waweza swali popote pale Mungu anakuona.
 
Unajua huwezi kuswali bila kitia nia, hivyo Mungu huwa anaona uposwali, tunachokifuata msikitini ni jamaa, vingivyo waweza swali popote pale Mungu anakuona.
Unatakiwa uswali mahali iliyo safi na twahara, huwez ukaswal kwenye chumba chenye Masanamu eti useme ni nia yako tu, bas wat wangekua wanaswali had bar
 
Bakwata ni ya waislamu ubwabwa hao
Well said.
Bakwata hawapendi wasomi na matokeo yake ndio hayo taasisi imekuwa haina visionary leaders na hata waislam wenyewe hawawaamini hao Bakwata na hasa kwenye suala michango ambapo pesa hizo huliwa tu na hawana accounting system nzuri na ya kisasa kwa ajili ya masuala ya pesa.
Kwa kifupi tu, ni taasisi iliyofeli miserably.
Hata Waarabu wamewashitukia siku hizi kwenye michango na shule zao ni afadhali za asante Kayumba, kazi mibweni kuungua kila siku na kufelisha watoto.
Bakwata inahitaji kuongozwa na wasomi kama zilivyo taasisi nyingine za kidini hapa nchini.
 
MUM Haimilikiwi na BAKWATA mkuu
Just imagine ingekuwepo BAKWATA MEDICAL UNIVERSITY chancellor akawa sheikh wa mkoa wa Dar. VC akawa sheikh Fulani. Nadhani hii ingekua ndio Jambo la kuchangiwa kuliko miskiti ambayo tunayo mingi. Kumbuka maombi yakiwa ya haki yanapokelewa hata Kama nyumba ya ibada Ni ya nyasi. Ukisali ktk mskiti mpya wa kino. Kama una makandokando yako ujue umeenda kuongeza sigjida
 
Waislam wa bongo hawataweza tena kupinga kwamba yesu alifufuka na ni mwana wa Mungu.
hutujui waislam wew..nyeusi ni nyeusi ni nyeusi na bluu ni bluu hao kama wakijichanganya wasitende haki kisa msikiti huo mzigo sio wa waislam wote
 
Pole kwa maarifa finyu,naomba ulete ushahidi w kwqmba muislamu anaruhusiwa kuswali kanisani
popote pale kwenye ardhi ya Mwenyezi Mungu unaruhisiwa kusujudu pasiwe na najisi tu basi...ngoja niangalie aya
 
Bakwata ni kichaka,waulize wakuonyeshe hata Hospitali moja ya Rufaa au chuo kikuu hata kimoja wanachomiliki zaidi ya kile cha MUM,walichopewa na na CCM,wameshindwa kupaka hata rangi majengo hayo.
"Ongea vtu ambavyo ukiomba ushahd.... Utaweza kutoa Hoja..... Kwanza haujui historia ya Chuo cha MuM hlo n moja.... Pil hata nkkuulza Jengo lpi ambalo n bovu na halijapakwa rang pia utashndwa kunijbu..... Kuna Majengo meng na Mapya Yanazid kujengwa Yenye thamn hata ya zaid ya 1B.... Ndo ipotee ela ya ukarabat..... Chunga kaul zako na Acha kuzalilisha Din za wenzako na kuichangany Din na Chama cha CCM....."

"Tumia busara na hekma kabla hujaandka.... Jarbu kutathmn kaul zako.... Ztakupa athari gani....."
 
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), limetoa msimamo wake kuhusu Rais John Magufuli kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa msikiti akiwa kanisani, likieleza kuwa kitendo hicho ni cha uzalendo, upendo na uungwana.

Nipashe

Atakayewalaumu Waislamu kwa hili nitamshangaa sana kwani kama tayari Taasisi nzima imeshawekwa Mfukoni na hapo hapo bado kuna Faida ya Kiuchumi inapatikana, utaanzaje kwenda Kinyume na Mhisani wako mkubwa? Ila kwa Waislamu ambao nakutana nao Kitendo hiki Kimewakwaza ile mbaya na kuhisi Kudharauliwa na hadi Kudhalilishwa, ila wamechagua tu Kunyamaza na Kuendelea na Dua zao huku wakimuchia tu Allah.
"Msiumize sana Kichwa Juu ya hili swala ndgu zang...... Kama hili suala n la halali Kwa Waislamu kusaidiwa kwa sadaka za Kanisani ili msikiti ujengwe..... Sas Je waislamu wangechangishwa Pesa ili Kanisa lijengwe..... Wangekubar..... Jbu litaklo patikana..... Kwenye hil swal ndo lta Determine uhalal au ubatil wa Mada"
 
"Msiumize sana Kichwa Juu ya hili swala ndgu zang...... Kama hili suala n la halali Kwa Waislamu kusaidiwa kwa sadaka za Kanisani ili msikiti ujengwe..... Sas Je waislamu wangechangishwa Pesa ili Kanisa lijengwe..... Wangekubar..... Jbu litaklo patikana..... Kwenye hil swal ndo lta Determine uhalal au ubatil wa Mada"
hakuna muislamu haswa anayeweza changia ujenzi wa kanisa hata jpm mwenyewe hawezi changisha msikitini,mimi ni wa kwanza siwezi changia kanisa.
 
Sasa yule Alhaj msaidizi wa Magu hadi sakramenti anakula kuna nini hapo?
Yule alhaji anauficha uislamu wake kuna siku magu alimwambia asome dua na ilikuwa msikitini....jamaa alisoma dua ya kiserikali badala ya kushusha dua mujjarabu mbele ya mkuu.
 
Kilichonishangaza bwana Alhad Musa Salum alikuwepo dodoma kupokea zile fedha. Yule jamaa njaa itamuua wallahi.
 
Back
Top Bottom