GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
MUM Haimilikiwi na BAKWATA mkuuBakwata ni kichaka,waulize wakuonyeshe hata Hospitali moja ya Rufaa au chuo kikuu hata kimoja wanachomiliki zaidi ya kile cha MUM,walichopewa na na CCM,wameshindwa kupaka hata rangi majengo hayo.
Waislam wa bongo hawataweza tena kupinga kwamba yesu alifufuka na ni mwana wa Mungu.
Mkuu wewe umedadavua vizuri sana na Allah akusimamie kwenye imani yako, achana na hawa wapiga mboyoyo ambao kila jambo wanaliweka kwenye siasaAhssante na shukran kwa taarifa..
Mojakwamoja bila kuweka sintofahamu :-
Kuchangiwa au kusaidiwa msaada wa mali (fundraising)au nguvu kazi (main power) au materials (vifaa ujenzi) ktk kuimarisha au ujenzi wa Msikiti (nyumba ya Mwenyezi-Mungu au jengo la kufanyia ibada) hiyo amali ni tendo zuri lenye kheri na linakubalika kbs ktk akida na imani ya kiislam.
Jamhuri ya madehebu inatambua michango ya aina hiyo since awali uislam ulipozaliwa na hadi kufikia leo.
Matokeo mbalimbali ya ngawira na mafanikio ya kiislam yaliweza hata kununua nyumba za ibadaa za "*ahlu al kitab, almushrikina nk nk*" na baadae kuvigeuza kuwa misikiti....
Pamoja na hayo Muislam anaruhusiwa kuswali ndani ya kanisa ilimradi aelekee Qibla !!
FYI.. hadithi zinadhihirisha na ayaat za Qur'an zinathobitisha.
Tafadhali tusijumuishe au kujumlisha wazo la kundi kwa waislaam waelewa tuliyo Umma mkubwa.
Kuchangiwa sio tatizo, tatizo aliyekuchangia ndiye aliyekuvunjiaMkuu wewe umedadavua vizuri sana na Allah akusimamie kwenye imani yako, achana na hawa wapiga mboyoyo ambao kila jambo wanaliweka kwenye siasa
Wanapiga tu Mboyoyo, na michango yenyewe hawatoi. Ingeleta maana kama wangesema hiyo michango ikataliwe, kisha watoe pesa mbadala za kujenga huo msikiti. Sasa watu wanaongea tu maneno nyuma ya keyboard zao, pesa hawatoi. Sisi Watanzania tuna matatizo sana. Tukipewa ni tabu, na tukinyimwa ni maneno, sijui tunataka nini?Mkuu wewe umedadavua vizuri sana na Allah akusimamie kwenye imani yako, achana na hawa wapiga mboyoyo ambao kila jambo wanaliweka kwenye siasa
Wewe umeongea vizuri sio hawa watu wengine wasiojuaAhssante na shukran kwa taarifa..
Mojakwamoja bila kuweka sintofahamu :-
Kuchangiwa au kusaidiwa msaada wa mali (fundraising)au nguvu kazi (main power) au materials (vifaa ujenzi) ktk kuimarisha au ujenzi wa Msikiti (nyumba ya Mwenyezi-Mungu au jengo la kufanyia ibada) hiyo amali ni tendo zuri lenye kheri na linakubalika kbs ktk akida na imani ya kiislam.
Jamhuri ya madehebu inatambua michango ya aina hiyo since awali uislam ulipozaliwa na hadi kufikia leo.
Matokeo mbalimbali ya ngawira na mafanikio ya kiislam yaliweza hata kununua nyumba za ibadaa za "*ahlu al kitab, almushrikina nk nk*" na baadae kuvigeuza kuwa misikiti....
Pamoja na hayo Muislam anaruhusiwa kuswali ndani ya kanisa ilimradi aelekee Qibla !!
FYI.. hadithi zinadhihirisha na ayaat za Qur'an zinathobitisha.
Tafadhali tusijumuishe au kujumlisha wazo la kundi kwa waislaam waelewa tuliyo Umma mkubwa.
Faiza anasemaje kuhusu hili?Waislam wa bongo hawataweza tena kupinga kwamba yesu alifufuka na ni mwana wa Mungu.
Bakwata ni kichaka,waulize wakuonyeshe hata Hospitali moja ya Rufaa au chuo kikuu hata kimoja wanachomiliki zaidi ya kile cha MUM,walichopewa na na CCM,wameshindwa kupaka hata rangi majengo hayo.
Ahssante na shukran kwa taarifa..
Mojakwamoja bila kuweka sintofahamu :-
Kuchangiwa au kusaidiwa msaada wa mali (fundraising)au nguvu kazi (main power) au materials (vifaa ujenzi) ktk kuimarisha au ujenzi wa Msikiti (nyumba ya Mwenyezi-Mungu au jengo la kufanyia ibada) hiyo amali ni tendo zuri lenye kheri na linakubalika kbs ktk akida na imani ya kiislam.
Jamhuri ya madehebu inatambua michango ya aina hiyo since awali uislam ulipozaliwa na hadi kufikia leo.
Matokeo mbalimbali ya ngawira na mafanikio ya kiislam yaliweza hata kununua nyumba za ibadaa za "*ahlu al kitab, almushrikina nk nk*" na baadae kuvigeuza kuwa misikiti....
Pamoja na hayo Muislam anaruhusiwa kuswali ndani ya kanisa ilimradi aelekee Qibla !!
FYI.. hadithi zinadhihirisha na ayaat za Qur'an zinathobitisha.
Tafadhali tusijumuishe au kujumlisha wazo la kundi kwa waislaam waelewa tuliyo Umma mkubwa.
[emoji1][emoji38][emoji28]Waislam wa bongo hawataweza tena kupinga kwamba yesu alifufuka na ni mwana wa Mungu.