Kwakuwa Msikiti wenu mkubwa bado haujakamilika, ningeshangaa sana kama mngekuja na Tamko la Kupinga

Hiv unajua kanisan kuna Masanamu na picha? Swala gani itakubaliwa ukiswali mbele ya Masanamu picha na misalaba? Hiii ni uongo na huruhusiwi had uviondoe vyote vinavyoweza kubatilisha swala, zaman makanisa yaligeuzwa kuwa misikiti na kuondolewa picha na sanam ndo watu wakaruhusiwa kufanya ibada
 
Unajua huwezi kuswali bila kitia nia, hivyo Mungu huwa anaona uposwali, tunachokifuata msikitini ni jamaa, vingivyo waweza swali popote pale Mungu anakuona.
 
Unajua huwezi kuswali bila kitia nia, hivyo Mungu huwa anaona uposwali, tunachokifuata msikitini ni jamaa, vingivyo waweza swali popote pale Mungu anakuona.
Unatakiwa uswali mahali iliyo safi na twahara, huwez ukaswal kwenye chumba chenye Masanamu eti useme ni nia yako tu, bas wat wangekua wanaswali had bar
 
Bakwata ni ya waislamu ubwabwa hao
Well said.
Bakwata hawapendi wasomi na matokeo yake ndio hayo taasisi imekuwa haina visionary leaders na hata waislam wenyewe hawawaamini hao Bakwata na hasa kwenye suala michango ambapo pesa hizo huliwa tu na hawana accounting system nzuri na ya kisasa kwa ajili ya masuala ya pesa.
Kwa kifupi tu, ni taasisi iliyofeli miserably.
Hata Waarabu wamewashitukia siku hizi kwenye michango na shule zao ni afadhali za asante Kayumba, kazi mibweni kuungua kila siku na kufelisha watoto.
Bakwata inahitaji kuongozwa na wasomi kama zilivyo taasisi nyingine za kidini hapa nchini.
 
MUM Haimilikiwi na BAKWATA mkuu
Just imagine ingekuwepo BAKWATA MEDICAL UNIVERSITY chancellor akawa sheikh wa mkoa wa Dar. VC akawa sheikh Fulani. Nadhani hii ingekua ndio Jambo la kuchangiwa kuliko miskiti ambayo tunayo mingi. Kumbuka maombi yakiwa ya haki yanapokelewa hata Kama nyumba ya ibada Ni ya nyasi. Ukisali ktk mskiti mpya wa kino. Kama una makandokando yako ujue umeenda kuongeza sigjida
 
Waislam wa bongo hawataweza tena kupinga kwamba yesu alifufuka na ni mwana wa Mungu.
hutujui waislam wew..nyeusi ni nyeusi ni nyeusi na bluu ni bluu hao kama wakijichanganya wasitende haki kisa msikiti huo mzigo sio wa waislam wote
 
Pole kwa maarifa finyu,naomba ulete ushahidi w kwqmba muislamu anaruhusiwa kuswali kanisani
popote pale kwenye ardhi ya Mwenyezi Mungu unaruhisiwa kusujudu pasiwe na najisi tu basi...ngoja niangalie aya
 
Bakwata ni kichaka,waulize wakuonyeshe hata Hospitali moja ya Rufaa au chuo kikuu hata kimoja wanachomiliki zaidi ya kile cha MUM,walichopewa na na CCM,wameshindwa kupaka hata rangi majengo hayo.
"Ongea vtu ambavyo ukiomba ushahd.... Utaweza kutoa Hoja..... Kwanza haujui historia ya Chuo cha MuM hlo n moja.... Pil hata nkkuulza Jengo lpi ambalo n bovu na halijapakwa rang pia utashndwa kunijbu..... Kuna Majengo meng na Mapya Yanazid kujengwa Yenye thamn hata ya zaid ya 1B.... Ndo ipotee ela ya ukarabat..... Chunga kaul zako na Acha kuzalilisha Din za wenzako na kuichangany Din na Chama cha CCM....."

"Tumia busara na hekma kabla hujaandka.... Jarbu kutathmn kaul zako.... Ztakupa athari gani....."
 
"Msiumize sana Kichwa Juu ya hili swala ndgu zang...... Kama hili suala n la halali Kwa Waislamu kusaidiwa kwa sadaka za Kanisani ili msikiti ujengwe..... Sas Je waislamu wangechangishwa Pesa ili Kanisa lijengwe..... Wangekubar..... Jbu litaklo patikana..... Kwenye hil swal ndo lta Determine uhalal au ubatil wa Mada"
 
kw
Mkuu wewe umedadavua vizuri sana na Allah akusimamie kwenye imani yako, achana na hawa wapiga mboyoyo ambao kila jambo wanaliweka kwenye siasa
kwa hiyo hapo siasa haijahusika mkuu?
 
hakuna muislamu haswa anayeweza changia ujenzi wa kanisa hata jpm mwenyewe hawezi changisha msikitini,mimi ni wa kwanza siwezi changia kanisa.
 
Sasa yule Alhaj msaidizi wa Magu hadi sakramenti anakula kuna nini hapo?
Yule alhaji anauficha uislamu wake kuna siku magu alimwambia asome dua na ilikuwa msikitini....jamaa alisoma dua ya kiserikali badala ya kushusha dua mujjarabu mbele ya mkuu.
 
Kilichonishangaza bwana Alhad Musa Salum alikuwepo dodoma kupokea zile fedha. Yule jamaa njaa itamuua wallahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…