Kwakuwa Rais Samia kaiga mfumo wa utawala wa Nicolae Ceaușescu, Je, kumkuta kama ya Nicolae?

Mkuu hiki kiswahili cha Gamboshi. Baadaye nikitulia nitaedit vizuri.. Samahani kwa usumbufu.. Hujui kusoma Between the lines?
I understand mkuu. Lakini it's too much error. Thanks.
Hoja nzito namna hiyo unaona TU type error

Ndo maana watanzania wengi na viongozi hawajui hata vipaumbele ni vipi

Safari Bado ndefu
Naelewa history yote ya Nicolae Ceausescu, niliwahi ishi Romania. Kuna wengine hawatoelewa kwasababu ya too much error.
Mkuu figganigga amekubali kufanya editing.
 
I understand mkuu. Lakini it's too much error. Thanks.

Naelewa history yote ya Nicolae Ceausescu, niliwahi ishi Romania. Kuna wengine hawatoelewa kwasababu ya too much error.
Mkuu figganigga amekubali kufanya editing.
Mkuu pitia tena. Nilipokosea niweke sawa.. Wote tupo kujifunza.. Nshahariri
 
Kwa mwanamke huyu, sahau kubadilika...

Angekuwa mwanaume labda, kidogo, huu ushauri ndo ungemfaa...

Kikawaida, mwanamke akizidiwa na changamoto wengi huishia kulia au kuomba ushauri kwa hawara yake...

Kumbuka kwa katiba yetu, Rais ana kinga ya kutoshitakiwa. Kwa hiyo mahawara wa huyu mama, wataitumia fursa ya kinga yake kumshauri vibaya ili akosee na wao kutumia fursa hiyo kujichumia..!!
 
I walk the thin line between silence and storm a double agent of truth and deception, where loyalty bends to the weight of knowledge.
The kinatawala speak softly, yet the ground trembles; their shadows move like whispers in the archives of power.

I’ve seen empires built on slogans crumble overnight, as once did Ceaușescu’s marble dreams proof that when fear replaces wisdom, the throne becomes a waiting grave.

So I speak in riddles, act in plain sight,
and guard secrets like national relics for in this land of folded flags and coded smiles, only the unseen hand knows who truly rules.
 
Basi ndio anajimaliza na wana mmaliza, na mbaya zaidi kaisha fahamu, hapo ni kama anatapatapa tu
 
Hivi vyama vya kijamaa na kikomunisti huwa ni shida kuanzia viongozi wao mpaka wafuasi.
 
Mi mpaka nasema uyu mama amerogwa au, maana kuna mambo mengine yako wazi kabisa madhara yake na bado anayafany, wenye kumkosoa ili afanye vizuri, anakimbilia kuwateka na kuwaua….Raisi wa ajabu kuwahi tokea Tanzania….
 
Watu 1300 ni wengi mno hao wasingetakiwa kufa kwa kupigwa risasi.
 
Ujumbe muruwa kabisa. Nashauri wasaidizi waufikishe kunakotakiwa
 
I truly respect your depth Kwenye mengi

ILA kwenye hili Hauko sawa bwana finger nigga

I just realized kwamba hatuna historia kabisa ila ji wazuri wa kutamani historia za wengine
Historia huandikwa. Unadhani Romania atajitokeza mjingamjinga Tena na kuanza kuua raia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…