Hapana hatukubali kwa nini mkoa umegwe kisa madini, madini lazima yabaki mkoa wa Kagera, miaka yote walikuwa wapi kujitenga.Ndugu wanajamvi kwa kuwa wahaya wote wanapinga mkoa wa chato kwa vigezo hapana sifa eti wilay ni mpya basi mie napendekeza uundwe mkoa wa Biharamulo na meaneo yake iwe wilya ya ngara, Biharamuo, Chato. Je wahaya hili watarikubali? kama watalikataa basi inammana hoja ya kusema chato bado changa itakuwa niuongo.
Kwa hiyo shida siyo chato kuwa mkoa lakini shida ni kagera kumegwa..Je Ngara na Biaharamulo wakisema wapewe mkoa kwa kuwa kwenda bukoba au kigoma ni mbali wakaungana na kakonko..unadhani mtafanyai wayaha wa bukoba?Hapana hatukubali kwa nini mkoa umegwe kisa madini, madini lazima yabaki mkoa wa Kagera, miaka yote walikuwa wapi kujitenga.
Hawajasema na hawawezi kusema, huo mpango wa serikali tu, wangetaka kujitenga wangejitenga kitambo, kisa wamepata madini ndiyo waanze choko choko za kujitenga haiwezekani.Kwa hiyo shida siyo chato kuwa mkoa lakini shida ni kagera kumegwa..Je Ngara na Biaharamulo wakisema wapewe mkoa kwa kuwa kwenda bukoba au kigoma ni mbali wakaungana na kakonko..unadhani mtafanyai wayaha wa bukoba?
RCC IMESEMA KWA SASA INAPATA BILLION 53 KUTOKA WILAYA MBILI.SWALI, JE HIZO PESA ZIMETUMIKA KUFANYA NINI HADI SASA KWANI SIONI MABADILIKO KATIKA WILAYA HUSIKA AMBAPO HAYO MAPATO YANATOKAHawajasema na hawawezi kusema, huo mpango wa serikali tu, wangetaka kujitenga wangejitenga kitambo, kisa wamepata madini ndiyo waanze choko choko za kujitenga haiwezekani.
Ndugu wanajamvi kwa kuwa wahaya wote wanapinga mkoa wa chato kwa vigezo hapana sifa eti wilay ni mpya basi mie napendekeza uundwe mkoa wa Biharamulo na meaneo yake iwe wilya ya ngara, Biharamuo, Chato. Je wahaya hili watarikubali? kama watalikataa basi inammana hoja ya kusema chato bado changa itakuwa niuongo.
Umrkurupuka jombaa,ishu sio jina,kabla ya mkoa wa Geita,hiyo Chato ilikuwa Kagera.Ndugu wanajamvi kwa kuwa wahaya wote wanapinga mkoa wa chato kwa vigezo hapana sifa eti wilay ni mpya basi mie napendekeza uundwe mkoa wa Biharamulo na meaneo yake iwe wilya ya ngara, Biharamuo, Chato. Je wahaya hili watarikubali? kama watalikataa basi inammana hoja ya kusema chato bado changa itakuwa niuongo.
Uwe unasoma taarifa kwa umakini na kuelewa.RCC IMESEMA KWA SASA INAPATA BILLION 53 KUTOKA WILAYA MBILI.SWALI, JE HIZO PESA ZIMETUMIKA KUFANYA NINI HADI SASA KWANI SIONI MABADILIKO KATIKA WILAYA HUSIKA AMBAPO HAYO MAPATO YANATOKA
kugawa mikoa haiko kwenye ilani ya chama 2020/2021Ndugu wanajamvi kwa kuwa wahaya wote wanapinga mkoa wa Chato kwa vigezo hapana sifa eti wilaya ni mpya basi mie napendekeza uundwe mkoa wa Biharamulo na maeneo yake iwe wilya ya Ngara, Biharamuo, Chato. Je wahaya hili watalikubali? Kama watalikataa basi ina maana hoja ya kusema Chato bado changa itakuwa ni uongo.
Kinacho sumbua hapo ni umagufuli na siyo kingine,mzimu wa Magufuli bado unaendelea kuwatesa watu, Magufuli alitaka hata mkoa wa Geita makao makuu yawe Chato,iliposhindikana akabadili kibao Chato aifanye kuwa mkoa,kama ni kwa ajili ya kusogeza huduma kwa wananchi Nyakanazi ipo ambayo makao makuu yakiwekwa hapo itakuwa rahisi kutoa huduma kwa wananchi wanaoishi katika maeneo hayo kwa vile Nyakanazi ni katikati, lakini kwakuwa watu wengi wanasumbuliwa na mzimu wa Magufuli wakupendelea kwao, hawataki kuusikia ukweli huu.
Guys mmesema chato haina sifa,,,ndonkisa cha kupinga..sasa tumetoa option..mkoa uwe biharamulo au Nyakanazi..je mnaona ni sawakugawa mikoa haiko kwenye ilani ya chama 2020/2021
CHATO HAINA VIGEZO VYA KUWA MKOA TUACHANE NA UPUMBAVU HUU,TUKIUENDEKEZA UJINGA HUU TUTAKUJA TENGEZA MIKOA KILA MAHALA.KILA JAMBO LIENDESHWE KWA VIGEZO VILIVYOWEKWA KISHERIA.Ndugu wanajamvi kwa kuwa wahaya wote wanapinga mkoa wa Chato kwa vigezo hapana sifa eti wilaya ni mpya basi mie napendekeza uundwe mkoa wa Biharamulo na maeneo yake iwe wilya ya Ngara, Biharamuo, Chato.
Je, Wahaya hili watalikubali? Kama watalikataa basi ina maana hoja ya kusema Chato bado changa itakuwa ni uongo.
Ndo maana napendekeza mkoa uwe wilaya kongwe kuliko zote wa Biharamulo na uiywe mkoa wa Biharamulo..ukiunganisha ngara..biharamulo..chato.CHATO HAINA VIGEZO VYA KUWA MKOA TUACHANE NA UPUMBAVU HUU,TUKIUENDEKEZA UJINGA HUU TUTAKUJA TENGEZA MIKOA KILA MAHALA.KILA JAMBO LIENDESHWE KWA VIGEZO VILIVYOWEKWA KISHERIA.
Wananchi kama wananchi wa maeneo hayo hawajawahi kusema kuwa wanashida na mkoa mpya katika maeneo hayo, ni kiherehere cha mtu mmoja tu,aliyekuwa anataka kila kitu akipeleke nyumbani kwake ndiye aliyekuwa na shida na mkoa mpya akauweke nyumbani kwake.Kwa hiyo mkoa ukiwekwa nayakanazi harafu wakaichukua Bihamulo..chanto..ngara..je akina professor Tibaijuka na wahaya wanaopinga hoja ya mkoa mpya watalizika?Nauliza hivyo ili tujue hoja zao kama zinaegemea kupinga jituhada za magufuri kwa sbb wanamuona mbinafsi..Sasa kumkomoa magufuri..tykiweka Nyakanazi kama unavyopendekeza..unadhani wahaya watafurahi nakuunga mkono..ndo swali la msingi
Wananchi kama wananchi wa maeneo hayo hawajawahi kusema kuwa wanashida na mkoa mpya katika maeneo hayo, ni kiherehere cha mtu mmoja tu,aliyekuwa anataka kila kitu akipeleke nyumbani kwake ndiye aliyekuwa na shida na mkoa mpya akauweke nyumbani kwake.
Kwakuwa hata watu wanamna hiyo hawakosagi wafuasi japokuwa hawawezi wakaweka wazi nia zao kuwa wanaunga mkono mkoa kupelekwa Chato nyumbani kwa mwendazake,wanajificha kwenye kivuri cha kuwasogezea wananchi huduma karibu, ndiomaana wengine tunasema kuwa kama nikuwasogezea wananchi huduma, Chato siyo mahali sahihi pakuweka makao makuu ya mkoa kutakuwa ni kuwatesa wananchi zaidi badala ya kuwasaidia niheri wabaki kama hapo mwanzo.
Halafu mkoa kuitwa Chato,kuitwa Bmlo, kuitwa Muleba, kuitwa Ngara, kuitwa Runazi, Buziku siyo tatizo, tatizo ni mahali gani sahihi ambapo makao makuu ya mkoa yawekwe mahali ambapo itakuwa ni kusogeza huduma kwa wananchi na si kwa ajili ya kudumisha fikra za mtu mmoja za kupendelea nyumbani kwake.
Hata hivyo sidhani kama ni wakati mwafaka wa kuwepo mkoa mwingine wakati hata mkoa wenyewe wa Geita bado haujaendelezwa kutokana na uchanga wake.