Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,993
- 9,212
Kwa kifupi ni kwamba hakuna sababu za msingi za kuongeza mikoa mingine mipya wakati hata mikoa ya zamani haijaendelezwa.Ndo maana nikasema uweke Nykanazi au Runzi au Biharamulo ili juwalizisha wanaosema jiwe alitaka kujipendelea ingawa nikiwauliza wanaomtuhumu jiwe waweke ushahidi wa yeye kutaka kuweka mkoa Chato,,hawana wanabaki na hisia tu