Kwakuwa ukakasi ni kuitwa mkoa wa Chato, basi uitwe mkoa wa Biharamulo

Ndo maana nikasema uweke Nykanazi au Runzi au Biharamulo ili juwalizisha wanaosema jiwe alitaka kujipendelea ingawa nikiwauliza wanaomtuhumu jiwe waweke ushahidi wa yeye kutaka kuweka mkoa Chato,,hawana wanabaki na hisia tu
Kwa kifupi ni kwamba hakuna sababu za msingi za kuongeza mikoa mingine mipya wakati hata mikoa ya zamani haijaendelezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…