Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kitohoji thesis za wazeeMagufuli Ni star wa Tanzania ametupa nchi salama na tutaishi kwa raha.ametufundisha kujiamini na kufanya kazi
Na kitohoji thesis za wazeeMagufuli Ni star wa Tanzania ametupa nchi salama na tutaishi kwa raha.ametufundisha kujiamini na kufanya kazi
Sema haki ya Mungu!!!!!
Mungu ni mwingi wa rehema na neema. Mwizi na muuaji na mzinzi husamehewa. Yesu msalabani kati ya wanyang'nayi na wa uaji, na mmoja wapo siku ile akawa na Yesu mbinguni..Kuna maswali akiulizwa kule aendako sijui atajibu Nini? Ben Saanane