Kwamba CCM walicheza na upepo baada kusikia press ya Polepole leo wakamuita Mbowe

Kwamba CCM walicheza na upepo baada kusikia press ya Polepole leo wakamuita Mbowe

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ina maana Dar to Dodoma ni karibu kuliko anapoishi Mbowe kwenda kisitu kusikiliza kesi ya Lissu.

CCM washajijua kuwa hawasikilizwi na hawafatiliwi.Kumuita Mbowe ni kuchanganya masafa ya wasikilizaji ambayo watu wengi walitaka kujua polepole anasema nini.
 
Watu wengi leo walitaka kujua Mbowe anatoa msimamo gani kuhusu Lissu, hasa katika kipindi hiki kigumu.
 
Yaani lisu pamoja na mawakili wake wote wale bado pia ana muhitaji mbowe aliekamuita mla rushwa akasikilize kesi yake? Ili atoe maamuzi au 😂
 
Back
Top Bottom