Unamkuta mtu anamchukulia poa Mzazi wake labda kwa sababu hakuwa karibu kwenye malezi anasahau kabisa kuwa juhudi na uchaguzi wake ndio chanzo cha uwepo wake. Mzazi ni wa kusamehewa tu maana alishacheza sehemu yake ya ku kuumbaumewaza jambo nilishagawaza asee🤣
Kwanza kabisa nikujuze kungali mapema kabla ya uzi kuchangamka.Au kwa upande mwingine kama Mama angeolewa na Baba mwingine nisingezaliwa mimi?. Nimetumia neno "kuoa kuolewa" kuilinda staha badala ya neno "kukutana".
Huenda ikawa kama swali tusilopaswa kujishughulisha nalo sana ali miradi wewe tayari upo basi ISHI.
Lengo hapa ni kukumbushana iwapo hivyo ndiyo ilivyo basi hatuna budi Watu kuthamini maamuzi ya Wazazi wote wawiili kwa uamuzi wao bila kujali walikutana kwenye mazingira rasmi au ya kushtukizana.
Ingawa kuna mengi kwa upande wa imani zetu, wengi tukiamini kila Mja ni kutimia tu kwa mpango uiokuwepo tokea awaii.
Haya maswali mimi nimejiuliza sana mpaka nikaamua kuacha baada ya kuumia kichwa kwa overthinkingAu kwa upande mwingine kama Mama angeolewa na Baba mwingine nisingezaliwa mimi?. Nimetumia neno "kuoa kuolewa" kuilinda staha badala ya neno "kukutana".

Mama ana tumbo la uzazi na sio mashine ya photocopyNi kweli ila walau basi itokee bahati umfananie baba yako.
Au kwa upande mwingine kama Mama angeolewa na Baba mwingine nisingezaliwa mimi?. Nimetumia neno "kuoa kuolewa" kuilinda staha badala ya neno "kukutana".
Huenda ikawa kama swali tusilopaswa kujishughulisha nalo sana ali miradi wewe tayari upo basi ISHI.
Lengo hapa ni kukumbushana iwapo hivyo ndiyo ilivyo basi hatuna budi Watu kuthamini maamuzi ya Wazazi wote wawiili kwa uamuzi wao bila kujali walikutana kwenye mazingira rasmi au ya kushtukizana.
Ingawa kuna mengi kwa upande wa imani zetu, wengi tukiamini kila Mja ni kutimia tu kwa mpango uiokuwepo tokea awaii.
Kuna baadhi ya kinamama hawafahamu baba halisi wa watoto wao.Kwanza kabisa nikujuze kungali mapema kabla ya uzi kuchangamka.
Baba yako mzazi anayemfahamu ni mama yako tu. Wengi watabisha lakini ukweli ni kwamba kitanda hakizai haramu
Angezaliwa anayetakiwa kuzaliwa kwa huyo mamaHii sasa ndio tunaita kizunguzungu cha fikra.Kwa hiyo kama Baba angemuoa Mama wa Mpanzu ningezaliwa mimi au Mpanzu?.
Maisha yako duniani ni mpango kamili wa muda mrefu kabla hujazaliwa.. Ni complete road map tangu mimba mpaka kifoAu kwa upande mwingine kama Mama angeolewa na Baba mwingine nisingezaliwa mimi?. Nimetumia neno "kuoa kuolewa" kuilinda staha badala ya neno "kukutana".
Huenda ikawa kama swali tusilopaswa kujishughulisha nalo sana ali miradi wewe tayari upo basi ISHI.
Lengo hapa ni kukumbushana iwapo hivyo ndiyo ilivyo basi hatuna budi Watu kuthamini maamuzi ya Wazazi wote wawiili kwa uamuzi wao bila kujali walikutana kwenye mazingira rasmi au ya kushtukizana.
Ingawa kuna mengi kwa upande wa imani zetu, wengi tukiamini kila Mja ni kutimia tu kwa mpango uiokuwepo tokea awaii.
Au kwa upande mwingine kama Mama angeolewa na Baba mwingine nisingezaliwa mimi?. Nimetumia neno "kuoa kuolewa" kuilinda staha badala ya neno "kukutana".
Huenda ikawa kama swali tusilopaswa kujishughulisha nalo sana ali miradi wewe tayari upo basi ISHI.
Lengo hapa ni kukumbushana iwapo hivyo ndiyo ilivyo basi hatuna budi Watu kuthamini maamuzi ya Wazazi wote wawiili kwa uamuzi wao bila kujali walikutana kwenye mazingira rasmi au ya kushtukizana.
Ingawa kuna mengi kwa upande wa imani zetu, wengi tukiamini kila Mja ni kutimia tu kwa mpango uiokuwepo tokea awaii.
Maisha yako duniani ni mpango kamili wa muda mrefu kabla hujazaliwa.. Ni complete road map tangu mimba mpaka kifo
Realm of eternity
Realm of enternity is top dimension, the conditioned state of all known and connected . The mirror image of Eternal, God, alfa na omega . Creation and destructionFrom within n without...www.jamiiforums.com
Basi mtoto hatamfahamu baba yake.Kuna baadhi ya kinamama hawafahamu baba halisi wa watoto wao.