Kwamba kuapishwa kwa wabunge 19 viti maalumu CHADEMA, chama hakijashiriki kufanya uteuzi sawasawa na sheria zinavyotaka. Nini maana yake hasa?

Kwamba kuapishwa kwa wabunge 19 viti maalumu CHADEMA, chama hakijashiriki kufanya uteuzi sawasawa na sheria zinavyotaka. Nini maana yake hasa?

The Palm Tree

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
7,951
Reaction score
12,541
Nimemsikiliza John John Mnyika akitoa tamko kuhusu jambo hili leo...

Kwa ufupi linafikirisha sana. Mtu anaweza kujiuliza kama ndivyo hivi yalivyo mambo haya, nini hasa maana yake...?

Kuna assumption mbili hapa;

MOSI; Kuna shida ndani ya CHADEMA. Ni mchakato halali kabisa umefanyika ndani ya chama bila mamlaka za juu za chama kujua. Wamekuja kushtuka, wanaona manyoya tu huku kuku akiwa ameshaliwa...

MBILI; Kama ni kweli chama hakikushiriki kufanya uteuzi huu sawasawa na taratibu za kisheria zinavyotaka na wakati huohuo hawa wanawake wakapata uhalali wa kisheria kuapishwa kuwa wabunge, then tunapaswa kujiuliza swali moja muhimu sana, kuwa, imekuwaje mambo haya yakawezekana na kuwa halali kisheria...?

Kama tuhuma za CHADEMA kupitia kwa katibu mkuu wake John Mnyika dhidi ya "system" ama "dola" ama "serikali" kushiriki kuihujumu CHADEMA kupitia jambo hili, basi we are in big trouble as nation....!

Kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 kwa "system" ama "dola" kulazimisha CCM ishinde kwa kura za "wizi wa kishindo" kwenye Urais, ubunge na udiwani, basi hakika hakuna kinachoweza kuizuia hii "system" kufanya lolote jingine kuhalalisha inachokitaka kitokee au kifanyike...!!

Ni tahadhari tu kwa CHADEMA, kwamba, Magufuli atatumia nguvu ya fedha kufanikisha yote haya...

CCM ya Magufuli iko very desperate and strategic kutekeleza mission hii hatari kabisa ya kishetani....

Silaha kuu inayotumiwa kuua kila kitu ni RUPIA yaani fedha...

Kila mtu anahitaji fedha, au siyo jamani?

Anachofanya Magufuli na ambayo ndiyo silaha kuu ndilo anayojivunia kutekeleza adhma yake hii ovu ni kutengeneza njaa ya uhitaji ama njaa ya fedha..

Baadaye, anawatupia mamilioni mbele yao wenye uhitaji aliowalenga lakini huku akisema "terms and conditions apply"...

Hyakanani vile, hata kama ni mume na mke mbele ya njaa ya fedha, possibility ya kusalitiana ni 99%...

Huu ndiyo mtihani CHADEMA wanaopaswa kuushinda kwa sababu Tanzania yetu ya sasa chini ya Magufuli ina akisi simulizi ya hadithi ya ANIMAL FARM...

Mnyama mwenye nguvu kama simba, dubu nk ndiye anaye survive ndani ya ANIMAL FARM...!!
 
Ni aibu kubwa mno imefanyika-na dunia imeshuhudia,pengine huwezi jua mkono wa MUNGU na utendaji wake katika kuumbua waovu wa haya mambo-hata mtoto mdogo kashtuka ujinga huu.
 
Siku zote mwizi huacha alama ambayo hata yeye baadae hushtuka na kuanza kujilaumu, "Ayaaa, nilisahauje tena?'' Hili la huyu dada aliyekuwa gerezani limewaumbua na kuweka wazi kila kitu.
 
Mkuu usiwe na wasiwasi Chadema itasurvive kwa sababu mbinu zilizotumwa niza kishamba sana , kwa wanaomjua Jiwe hatushangai , yeye Ni mzee wa mikurupuko na amri anatenda kwanza halafu kufikiri baadaye , badala ya kufikiri kabla ndio atende ndio maana anaacha mark kwenye foot print .

Kukupa data ili Jiwe apate Yale mamilioni yenye masharti ya wenyeviti wa kamati za PAC , LAAC na ile ya mashirika ya umma watoke upinzani ili hell zitolewe , sio kwamba Jiwe ametumia pesa tu kuwashawishi kina Mdee , hivi nyinyi mnafikiri Mdee na hao kina Matiko , Bulaya ni wepesi ? Zimetumika pesa , baada ya kushindwa ukatumika ugaidi , jamani hao watoto wa kike mbele ya wasiojulikana unafikiri watafanyaje ?
 
Hivi hao jamaa hawanaga akili? Hawakuwaza hilo kabisa?
Wasingekosea hapa mbinu za kumchafua Mbowe kwamba ndiye mwenye kuwapa baraka lingetimia na pengine ingemuharibia kisiasa kuaminisha umma hadi uelewe,lakini kwa makosa haya yaliyotokea hata mtu asiye na ufahamu mkubwa wa mambo ameelewa yaliyotendeka.
 
Mkuu usiwe na wasiwasi Chadema itasurvive kwa sababu mbinu zilizotumwa niza kishamba sana , kwa wanaomjua Jiwe hatushangai , yeye Ni mzee wa mikurupuko na amri anatenda kwanza halafu kufikiri baadaye , badala ya kufikiri kabla ndio atende ndio maana anaacha mark kwenye foot print . Kukupa data ili Jiwe apate Yale mamilioni yenye masharti ya wenyeviti wa kamati za PAC , LAAC na ile ya mashirika ya umma watoke upinzani ili hell zitolewe , sio kwamba Jiwe ametumia pesa tu kuwashawishi kina Mdee , hivi nyinyi mnafikiri Mdee na hao kina Matiko , Bulaya ni wepesi ? Zimetumika pesa , baada ya kushindwa ukatumika ugaidi , jamani hao watoto wa kike mbele ya wasiojulikana unafikiri watafanyaje ?
Chadema bila Mbowe na Lissu kuwa viongozi wakuu kwa sasa wasio na tamaa pengine ingeshakuwa story.Ni viongozi wasioendekeza tamaa ya fedha na hilo limepelekea wenzetu kuhamia kwenye low level targets.Valued assets ni Mdowe na Lissu.
 
Nusrat ametolewa usiku tar 23 ili tar 24 awepo Dodoma kuapa!
Dola lazima inahusika na huu uhalifu!
Watasema uteuzi ulifanyika ndipo akawa anatafutwa kila mtu aliko walio mahabusu wakaitwa na walio mikoani wakaitwa yawezekana haukuwa uteuzi wa siku moja na kuapishwa
 
Watasema uteuzi ulifanyika ndipo akawa anatafutwa kila mtu aliko walio mahabusu wakaitwa na walio mikoani wakaitwa yawezekana haukuwa uteuzi wa siku moja na kuapishwa
😁😁😁,kiapo mbele ya hakimu amekula lini?Form amejaza lini?
 
Mkuu usiwe na wasiwasi Chadema itasurvive kwa sababu mbinu zilizotumwa niza kishamba sana , kwa wanaomjua Jiwe hatushangai , yeye Ni mzee wa mikurupuko na amri anatenda kwanza halafu kufikiri baadaye , badala ya kufikiri kabla ndio atende ndio maana anaacha mark kwenye foot print . Kukupa data ili Jiwe apate Yale mamilioni yenye masharti ya wenyeviti wa kamati za PAC , LAAC na ile ya mashirika ya umma watoke upinzani ili hell zitolewe , sio kwamba Jiwe ametumia pesa tu kuwashawishi kina Mdee , hivi nyinyi mnafikiri Mdee na hao kina Matiko , Bulaya ni wepesi ? Zimetumika pesa , baada ya kushindwa ukatumika ugaidi , jamani hao watoto wa kike mbele ya wasiojulikana unafikiri watafanyaje ?
ndio waende wakaseme kwenye kikao walikoitwa
 
Kama yalisemwa na Mnyika ni ya kweli kuwa mmoja wao alitolewa mahabusu usiku basi nchi hii haina utawala wa kisheria na tunakoelekea ni kubaya zaidi. Kwa nini kwa awamu hii mambo yanaharibika zaidi?.
 
Watasema uteuzi ulifanyika ndipo akawa anatafutwa kila mtu aliko walio mahabusu wakaitwa na walio mikoani wakaitwa yawezekana haukuwa uteuzi wa siku moja na kuapishwa
Ok!,na ili mtuhumiwa atoke gerezani si lazima mahakama ishiriki kwenye maamuzi?Usiku huo Judge alikaa?
 
CHADEMA siku zote hutafuta chaka la kufichia makosa yao wenyewe hasa kuilaumu serikali

Hata hilo la mtu kutolewa maabusu na kwenda kuapishwa bila kujuwa form Na 8D amesaini lini na kiapo mbele ya hakimu ameapa lini wakati alikuwa mahabusu unasema ni CHADEMA hivi kumbe CHADEMA wana uwezo wa kumfutia shitaka mtuhumiwa. Ama kweli mataga sasa mnahangaika
 
Nimemsikiliza John John Mnyika akitoa tamko kuhusu jambo hili leo...

Kwa ufupi linafikirisha sana. Mtu anaweza kujiuliza kama ndivyo hivi yalivyo mambo haya, nini hasa maana yake...?

Kuna assumption mbili hapa;

MOSI; Kuna shida ndani ya CHADEMA. Ni mchakato halali kabisa umefanyika ndani ya chama bila mamlaka za juu za chama kujua. Wamekuja kushituka, wanaona manyoya tu huku kuku akiwa ameshaliwa...

MBILI; Kama ni kweli chama hakikuhiriki kufanya uteuzi huu sawasawa na taratibu za kisheria zinavyotaka na wakati huohuo hawa wanawake wakapata uhalali wa kisheria kuapishwa kuwa wabunge, then tunapaswa kujiuliza swali moja muhimu sana, kuwa, imekuwaje mambo haya yakawezekana na kuwa halali kisheria...?

Kama tuhuma za CHADEMA kupitia kwa katibu mkuu wake John Mnyika dhidi ya "system" ama "dola" ama "serikali" kushiriki kuihujumu CHADEMA kupitia jambo hili, basi we are in big trouble as nation....!

Kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 kwa "system" ama "dola" kulazimisha CCM ishinde kwa kura za "wizi wa kishindo" kwenye Urais, ubunge na udiwani, basi hakika hakuna kinachoweza kuizuia hii "system" kufanya lolote jingine kuhalalisha inachokitaka kitokee au kifanyike...!!

Ni tahadhari tu kwa CHADEMA, kwamba, Magufuli atatumia nguvu ya fedha kufanikisha yote haya...

CCM ya Magufuli iko very desperate and strategic kutekeleza mission hii hatari kabisa ya kishetani....

Silaha kuu inayotumiwa kuua kila kitu ni RUPIA yaani fedha...

Kila mtu anahitaji fedha, au siyo jamani?

Anachofanya Magufuli na ambayo ndiyo silaha kuu ndilo anayojivunia kutekeleza adhma yake hii ovu ni kutengeneza njaa ya uhitaji ama njaa ya fedha..

Baadaye, anawatupia mamilioni mbele yao wenye uhitaji aliowalenga lakini huku akisema "terms and conditions apply"...

Hyakanani vile, hata kama ni mume na mke mbele ya njaa ya fedha, possibility ya kusalitiana ni 99%...

Huu ndiyo mtihani CHADEMA wanaopaswa kuushinda kwa sababu Tanzania yetu ya sasa chini ya Magufuli ina akisi simulizi ya hadithi ya ANIMAL FARM...

Mnyama mwenye nguvu kama simba, dubu nk ndiye anaye survive ndani ya ANIMAL FARM...!!
Tell me who you loyal to
Do it start with your women or your man? (Mmm)
Do it end with your family and friends? (Mmm)
Or you're loyal to yourself in advance?
 
Back
Top Bottom