Pesa bila mikakati sio kilakitu NI pesa.Ili muamini;hoja yangu,tokea tumekusanya za Tozo kipi kimefanyika tukaanbiwa hiki NI Ile Tozo yenu?MBONA mwananchi moja moja anazidi kudidimia? Gesi juu Petroli juu,mafuta ya Kula juu. SASA kuanzia tarehe 8/09/2921.ukihamisha Tu pesa Benki kwenda Benk nyingine inakula kwako.Si MDA mrefu ninashaka hata ukitoa kwenye ITM tutakatwa Tozo. Kama hatutaweza basi tuufuate ushauri WA waziri WA Fedha ule WA kuhamia Burundi. Hasante Mheshimiwa Mungu akupe Maisha marefu ulete Kali zaidi ya hii. Ameen