Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Kwa mwenendo wake na hata ayanenayo tokea ajiuze huko CCM, Peter Msigwa amekuwa akitumia nguvu kubwa kutaka kuaminisha Umma wa Watanzania eti yeye ni CCM kindaki-kindaki haswa.
Najiuliza, hivi Msigwa haijui CCM vizuri eti?
Wallah CCM watakachomfanya Msigwa hatokuja kusahau!
Najiuliza, hivi Msigwa haijui CCM vizuri eti?
Wallah CCM watakachomfanya Msigwa hatokuja kusahau!