Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Kawaida yao. Walimtumia shonza wakambwaga, wakambeba Slaa njiani wakaachana naye.Kwa mwenendo wake na hata ayanenayo tokea ajiuze huko CCM, Peter Msigwa amekuwa akitumia nguvu kubwa kutaka kuaminisha Umma wa Watanzania eti yeye ni CCM kindaki-kindaki haswa.
Najiuliza, hivi Msigwa haijui CCM vizuri eti?!
Wallah CCM watakachomfanya Msigwa hatokuja kusahau!
Ukitaka Kukwea kirahisi ccm, anzia kwanza upinzani kama CDM, hapo utanunuliwa kwa pesa nzuri na cheo. Huo ndio ukweli wenyewe; asietaka aendelee kuvaa jezi za kijani mpaka uzeeniNawashangaa CCM wanatucha makada wamemkumbtia huyo mchungaji tapeli.
KachanganyikwaKwa mwenendo wake na hata ayanenayo tokea ajiuze huko CCM, Peter Msigwa amekuwa akitumia nguvu kubwa kutaka kuaminisha Umma wa Watanzania eti yeye ni CCM kindaki-kindaki haswa.
Najiuliza, hivi Msigwa haijui CCM vizuri eti?
Wallah CCM watakachomfanya Msigwa hatokuja kusahau!
Hivi yule Shonza yuko wapi siku hizi. Yeye muda wote alikuwa anamshambulia Dr Slaa. Baada ya Slaa kuondoka CHADEMA sikumsikia tena.Kawaida yao. Walimtumia shonza wakambwaga, wakambeba Slaa njiani wakaachana naye.
Nani anakumbuka zile mbwembwe za Dr. Kabrou mwisho Wa siku wakawa Wanampita bila ya kumsalimu.
CCM wakikupata baada ya kuwasumbua wanakutembeza Nchi nzima kama njia ya kukudhalilisha kuwa huna msimamo na kuwa bei yako wameiweza.
Wanasiasa maslahi huwa hawana aibu Wala hawajali haiba zao kwa jamii.
Kwa mwenendo wake na hata ayanenayo tokea ajiuze huko CCM, Peter Msigwa amekuwa akitumia nguvu kubwa kutaka kuaminisha Umma wa Watanzania eti yeye ni CCM kindaki-kindaki haswa.
Najiuliza, hivi Msigwa haijui CCM vizuri eti?
Wallah CCM watakachomfanya Msigwa hatokuja kusahau!
Waitara uchaguzi wa 2025 ndiyo atajua hajui. Labda watakuja kumpa uteuzi kwa maana wanaogopa walioko upinzani wakiona kwenda CCM hakuna guarantee basi watasita kununuliwa.
Tumbo niache nifanye mambo ya kiutu uzima.Tatizo ni tumbo...