Kwamba Serikali inaondoa kodi kwenye Energy Drinks? Hapa kuna watu wanalengwa wafadike huu mwaka wa uchaguzi

Kwamba Serikali inaondoa kodi kwenye Energy Drinks? Hapa kuna watu wanalengwa wafadike huu mwaka wa uchaguzi

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,532
Reaction score
14,164
Hizi kodi zinalenga kuwafaidisha hawa watu na huenda wamekamuliwa sana pesa za kampeni, hasa GSM, AZAM,MO na JAMBO hawa ndio target na wala hakuna cha kuvutia wawekezaji zaidi.

Kuna sanaa wanafanya hawa serikali na wanahadaa kwamba ni kuvutia wawekezaji ilihali wanajua kabida hao giant ndio wanamiliki market share kubwa na hakuna namna.

Viwanda vya energy kitu gani? Hivyo ni viwanda ambavyo nchi zi gine wala hawavihesabu kama ni viwanda. Kuna kitu tu nyuma ya pazia.

Yaani hawawezi waza kwamba wafufue viwanda vya nguo tupunguze kuvaa mitumba na kubust kilimo cha Pamba kule kanda ya ziwa wao wanawaza enery Drinker?

Wajinga hawawazi kuongeza kodi kwa fanicha za kutoka nje ya nchi ili kuwasaidia maelefu ya Watanzani walio jiajiri kwemye sekita ya utengenezaji wa fanicha.

Hawawazi hata kwamba labda waondoe kodi kabisa kwenye maziwa yanayo zalishwa ndani ya nchi ili kusaidia kuvutia wawekezaji kwenye sekita ya maziwa na baadae wafugaji nao wanufaike na hii itapunguza umasikini.

Energy Drinks hazizalishwi kwa malighafi za ndani ya nchi ni Imported. Hizi ni akili za kijinga sana na labda kuna kitu sisi hatukijui.

Kuna watu wanalengwa kunufaishwa.
 
CCM wamewaomba wawape billion 500 za kampeninkwa ahadinkwamba watapubguza ushuru kwenye energy Drinker,,maajabu ya Dunia.Energy Drinker inaua watu sana ukinywa nyingi Leo eti inapunguziwa kodi
 
CCM wamewaomba wawape billion 500 za kampeninkwa ahadinkwamba watapubguza ushuru kwenye energy Drinker,,maajabu ya Dunia.Energy Drinker inaua watu sana ukinywa nyingi Leo eti inapunguziwa kodi
Na huu ndio ukeli wenyewe
 
Back
Top Bottom