Kwamba shehe Mwaipopo katanza kumiliki kikundi cha kigaidi. Is very concerning

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
- Huyu shehe Mwaipopo, mnyakyusa bila shaka. Kuonyesha mbele ya camera kwamba anamiliki kikundi cha kigaidi ni jambo la kuogofya kitaifa na kimataifa.

- Kwa shehe kuonesha hadharani sura yake na kikundi cha kigaidi anacho miliki bila mamlaka kusema chochote inaogofya zaidi.

- Kiongozi wa kikundi katoa sifa kadhaa ya kundi hilo la kigaidi kwamba linamafunzo ya hali ya juu bila kuta wamekua trained wapi.

- Kasifia kwamba miongoni mwa members wa kikundi hicho wanaweza tembea juu ya kamba mamia ya kilometa (military like training), haya nimafunzo common kwa makundi ya kigaidi.

  • Inasemekana kwa uhakika kwamba hata makundi makubwa ya uhalifu huko Nigeria mwanzoni yalianza kwa namna hii na sasa wameshindwa ku ya contain.
  • Hili jambo lizifikie hata jumuia za kimataifa kwamba Tanzania kuna shehe anamiliki kundi la kigaidi for records.
 
-Huyu shehe Mwaipopo, mnyakyusa bila shaka. Kuonyesha mbele ya camera kwamba anamiliki kikundi cha kigaidi ni jambo la kuogofya kitaifa na kimataifa.

-kwa shehe kuonesha hadharani sura yake na kikundi cha kigaidi anacho miliki bila mamlaka kusema chochote inaogofya zaidi.

-kiongozi wa kikundi katoa sifa kadhaa ya kundi hilo la kigaidi kwamba linamafunzo ya hali ya juu bila kuta wamekua trained wapi.
- kasifia kwamba miongoni mwa members wa kikundi hicho wanaweza tembea juu ya kamba mamia ya kilometa (military like training), haya nimafunzo common kwa makundi ya kigaidi.
-inasemekana kwauhakika kwamba hata makundi makubwa ya uhalifu huko Nigeria mwanzoni yalianza kwa namna hii na sasa wameshindwa ku ya contain.
-hili jambo lizifikie hata jumuia za kimataifa kwamba Tanzania kuna shehe anamiliki kundi la kigaidi for records.
Kumbe lile puuzi lilikokuwa linasema vile ndiyo shehe mwaipopo duuuh ,nilikuwa sijalijua kama ndiyo lenyewe.

Hilo jamaa ni la kulipuuza tu.

Hilo ni spika ,limetumwa na viongozi wa sirikali lije kuropoka maana viongozi wa sirikali wakija kutamka hayo watawasha moto ambao Kombo anajitahidi kuuzima.
 
Hii si ya kupuuzwa lazima jeshi la polisi litoke liseme wazi maana tume ya JAJI chande walisema kuna makundi ya kihalifu yapo mpaka karibu na vituo vya polisi wanasisiem wakaja na uzushi kwamba ni chadema ndio wanaratibu mambo hayo Sasa Leo ukweli umejukikana kwamba kumbe hawa wahuni ndio wanaratibu haya mambo.
 
-Huyu shehe Mwaipopo, mnyakyusa bila shaka. Kuonyesha mbele ya camera kwamba anamiliki kikundi cha kigaidi ni jambo la kuogofya kitaifa na kimataifa.

-kwa shehe kuonesha hadharani sura yake na kikundi cha kigaidi anacho miliki bila mamlaka kusema chochote inaogofya zaidi.

-kiongozi wa kikundi katoa sifa kadhaa ya kundi hilo la kigaidi kwamba linamafunzo ya hali ya juu bila kuta wamekua trained wapi.
- kasifia kwamba miongoni mwa members wa kikundi hicho wanaweza tembea juu ya kamba mamia ya kilometa (military like training), haya nimafunzo common kwa makundi ya kigaidi.

-inasemekana kwauhakika kwamba hata makundi makubwa ya uhalifu huko Nigeria mwanzoni yalianza kwa namna hii na sasa wameshindwa ku ya contain.
-hili jambo lizifikie hata jumuia za kimataifa kwamba Tanzania kuna shehe anamiliki kundi la kigaidi for records.
Ni kundi la Abdul yeye ni chawa tu na amejipachika kuwa msemaji wa hilo kundi.
 
Hii si ya kupuuzwa lazima jeshi la polisi litoke liseme wazi maana tume ya JAJI chande walisema kuna makundi ya kihalifu yapo mpaka karibu na vituo vya polisi wanasisiem wakaja na uzushi kwamba ni chadema ndio wanaratibu mambo hayo Sasa Leo ukweli umejukikana kwamba kumbe hawa wahuni ndio wanaratibu haya mambo.
Hao wametumwa na mwenyekiti wao wa ulinzi na usalama ngazi ya nchi(Aigipii) ,poriC hawawezi kusema chochote.

Kuna yule jamaa aliyesema atakata watu vichwa hajachukuliwa hatua yeyote ,yule aliyesema kwamba watapoteza watu na polisi wasiwatafute ,na pia kuna mzee wa ufafanuzi amesema ukitoa siri za serikali unaenda kuokotwa.
 
Sipati picha kama Padri Kitima au Askofu Mwamakula ndiyo atoe kauli za kigaidi kama hizi. Tanzania imekuwa ni kama familia ya single mother. Kila kitu ni shaghalabaghala tu - udini! Uzanzibari na Uzanzibara. Hata sijui nchi hii inaelekea wapi!
Haushangai Lissu kapewa treason case kwa kusema atakinukisha sasa imagine huyu aliyesema kuwa anamiki terror squad.
 
Sipati picha kama Padri Kitima au Askofu Mwamakula ndiyo atoe kauli za kigaidi kama hizi. Tanzania imekuwa ni kama familia ya single mother. Kila kitu ni shaghalabaghala tu - udini! Uzanzibari na Uzanzibara. Hata sijui nchi hii inaelekea wapi!
Huyo mwaipopo si shehe ni MUHUNI tu flani...Tusimuhusishe kabisa na dini ya kiislamu , hakuna shehe ambaye asiyehubiri amani ,dini zimeletwa kwa ajili ya kuleta amani ,na kila viongozi wa dini wakiwa kwenye madhabao/altare/mihrab wanahubiri amani tu.
 
-Huyu shehe Mwaipopo, mnyakyusa bila shaka. Kuonyesha mbele ya camera kwamba anamiliki kikundi cha kigaidi ni jambo la kuogofya kitaifa na kimataifa.

-kwa shehe kuonesha hadharani sura yake na kikundi cha kigaidi anacho miliki bila mamlaka kusema chochote inaogofya zaidi.

-kiongozi wa kikundi katoa sifa kadhaa ya kundi hilo la kigaidi kwamba linamafunzo ya hali ya juu bila kuta wamekua trained wapi.
- kasifia kwamba miongoni mwa members wa kikundi hicho wanaweza tembea juu ya kamba mamia ya kilometa (military like training), haya nimafunzo common kwa makundi ya kigaidi.

-inasemekana kwauhakika kwamba hata makundi makubwa ya uhalifu huko Nigeria mwanzoni yalianza kwa namna hii na sasa wameshindwa ku ya contain.
-hili jambo lizifikie hata jumuia za kimataifa kwamba Tanzania kuna shehe anamiliki kundi la kigaidi for records.
Wauaji wamejianika wenyewe.Kazi kwao polisi.
 
Back
Top Bottom