BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
Ooh Baby wa Mtu ameondoka,Hamia Simba bintiUsinipangie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh Baby wa Mtu ameondoka,Hamia Simba bintiUsinipangie!
Hata huyo Dube hakukua na ulazima wa kuwepo ikiwa tayari unaye DubeSkudu winga.. guede striker
Je unatambua idadi ya mastrika tulionao?
Huyu Skudu tumepigwa kwakweliYupo kibiashara na ku entertain kambi...
Rudi kaangalie mpira vizuri. Tatizo huwa hamfuatilii mpira vizuriguede hana faida kabisa, hata huwa sijui kwanini alikuja bongo.
Guede kaja katikati ya ligi ila ndiye kawa straika mwenye magoli mengi kuliko hao wakina Musonda. Alianza kujipataguede hana faida kabisa, hata huwa sijui kwanini alikuja bongo.
Binti usiwe hivo bana,jamaa yako yuko nbc prwmier league utaendelea kumuonaBora umeandika wewe
Nikisikia habari za yanga walivyomfanyia Guede nasikia hasira
Yanga wameniudhi hovyoo zao
Hata iweje Guede hakua wa kutemwaKabla ujalaumu uwe unauliza, nani kakwambia skudu anabaki? Yanga kasajili wachezaji wangapi unajua? Kwa taarifa yako skudu ndio alikuwa mchezaji wa kwanza kuachwa baada ya mkataba wake kuisha ivyo kuwa na amani
Alikua keshaingia kwenye mfumo. Angepewa nafasi angetufikisha mbali jamaaGuede kaja katikati ya ligi ila ndiye kawa straika mwenye magoli mengi kuliko hao wakina Musonda. Alianza kujipata
Yule tulitapeliwa au kuna wanaonufaika naye 😔Yupo kibiashara na ku entertain kambi...
Uyo mauya si kaongeza mkataba mpya majuzo tu
Ningeshangaa sana kama Skudu angebaki. Maana mchango wake kwenye timu, na akiwa kama mchezaji wa kigeni! Kiukweli ulikuwa ni mdogo sana.
tena liende na komwe lake kabisa!..🤣Kama unapenda mchezaji na sio timu,hamia upande wa pili
Skudu ni kocha wa chenga na manjonjo Kwa wachezaji mazoeziniHongera kwa uongozi wangu wa Yanga kwa kazi inayoendelea mpaka sasa kiukweli kwa kiasi fulani inaridhisha kuimarisha maeneo yaliyokua yanalega lega msimu uliopita. Lakini kuna jambo naona halijakaa sawa na hapo viongozi lazima tuwaambie mlipopuyanga.
Huyu Guede ambaye gari lake limewaka na kaanza kuzoeana na wachezaji wenzake alipaswa kupewa mkataba mpya na mzuri kuendeleza kile alichoanza nacho kwa nusu msimu aliokuwepo badala yake mnamuacha anaondoka na Skudu ambaye ni injury prone player bado yupo. Kiukweli sikutegemea kwa hili kutokea na nadhani mna haja ya kufanya kweli kuhakikisha Skudu aliyebaki ana deliver tulichotegemea kukiona.
Hongereni Singida mmepata mtu nafasi ya ushambuliaji.