Idadi kubwa ya kona na possession kubwa zinaipa timu point ngapi?Yaani Zesco wapate mipira ya kona 6,afu Yanga no corner kick...!!! Sielewi
yanga na machester united hawana tofautiYaani Zesco wapate mipira ya kona 6,afu Yanga no corner kick...!!! Sielewi
Acha kujipendekeza sisi kama yanga hatuna kabisa shabiki mandazi kama wewe mbuzi wa kijani wewe.Kwa kile kilichojiri pale kwa mkapa kupita kwetu kwenda makundi CCL ni miujiza na kudura za maulana tu...! Hata kama mpira unadunda ndo kona zote 6 zidundie kwetu?
Hata Manara alikuwa na imani kama hizi, ndio maana alisema ikiwa Liverpool atamfunga Barcelona angehamia rasmi kuishabikia Yanga. Mshabiki mwingine wa Simba alijiapiza kuwa iwapo UD Songo atamtoa Simba na Yanga akamtoa Township Rollers atampa huyo aliyemhoji simu ya kwake na ya mkewe na sh 100,000. Yaliyotokea kwenye viapo vile sijui kama yalitekelezwa. Kwa hiyo ndugu usiwe mtu wa kujiapiza hivyo.Kwa kile kilichojiri pale kwa mkapa kupita kwetu kwenda makundi CCL ni miujiza na kudura za maulana tu...! Hata kama mpira unadunda ndo kona zote 6 zidundie kwetu?
Ilikuwa 3-1 goli la man u lilifungwa na rooneyNi jambo la kawaida ktk soka mkuu, kuna mwaka sikumbuki vizuri Manchester United dhidi ya Barca fainali ya UEFA. Man U chini ya mzee Ferguson nao walikosa hata kona moja, walikula 3-0 magoli ya Barca yalifungwa na David Villa, Pedro na Messi kama sikosei.
Mzee Ferguson kuna muda mpaka alikuwa anatetemeka kama simu iko ktk vibration.
Hata hilo sio mbaya hatua kubwa Sana hiyo 😊😊😊Dalili hapa Kombe la shirikisho ndilo linalotuhusu huku CCL tumepotea njia..!
Viva Yanga.. .! Daima mwiko mbele nyuma. Twendeni tukafanye maajabu ya Daudi kwa Goliath...!Hata Manara alikuwa na imani kama hizi, ndio maana alisema ikiwa Liverpool atamfunga Barcelona angehamia rasmi kuishabikia Yanga. Mshabiki mwingine wa Simba alijiapiza kuwa iwapo UD Songo atamtoa Simba na Yanga akamtoa Township Rollers atampa huyo aliyemhoji simu ya kwake na ya mkewe na sh 100,000. Yaliyotokea kwenye viapo vile sijui kama yalitekelezwa. Kwa hiyo ndugu usiwe mtu wa kujiapiza hivyo.
Yupo anaitwa SibomanaHuna striking force kona utapataje....yanga hawana mshambuliaji sijajua kwann hawakusajili hata internal Tanzanian player wa kushambulia mmoja.
Yupo anaitwa Sibomana
Utaelewaje nawe ni mbumbumbu?Yaani Zesco wapate mipira ya kona 6,afu Yanga no corner kick...!!! Sielewi
View attachment 1208226
Utaelewaje nawe ni mbumbumbu?
Kwa mfano kwenye mechi hii, 5imba ilipiga kona ngapi? Ball possesion ilikuwa asili
Hapa unamaanisha Zesco sio ya mchezo mchezo na performance ile ni sawa kbs.Mateso yote haya sbb ya Kamusoko..! Lakini mimi sikubali kirahisi rahisi namna iyo.Kinyago tukichonge wenyewe halafu kitutishe wenyewe,Haiwezekani tunaenda kupindua meza kibabe Ndola.!!View attachment 1208226
Utaelewaje nawe ni mbumbumbu?
Kwa mfano kwenye mechi hii, 5imba ilipiga kona ngapi? Ball possesion ilikuwa asilimia ngapi kwa 5imba?
Kuna kipi cha ajabu mchezaji kuifunga timu yake ya zamani?Hapa unamaanisha Zesco sio ya mchezo mchezo na performance ile ni sawa kbs.Mateso yote haya sbb ya Kamusoko..! Lakini mimi sikubali kirahisi rahisi namna iyo.Kinyago tukichonge wenyewe halafu kitutishe wenyewe,Haiwezekani tunaenda kupindua meza kibabe Ndola.!!
Comments za watu wenye stress ya UD SongoMmmh Kazi ipo....Ball possession Yanga 38% ,Zesco 62% FT. Kwa takwimu hizi mlima ni mrefu huko Zambia
Kwani huko kwao watakuwa 25 uwanjani?Nakubaliana na wewe sometimes mpira wa miguu ni 'mateso'..kinachochanganya hapa huyu mtu aliyekudhibiti kwako ukashindwa kupata hata kona moja,sasa uende kwake upate matokeo.
Yap, nimekumbuka. Ahsante kwa marekebisho.Ilikuwa 3-1 goli la man u lilifungwa na rooney