'Kwamba Yanga haikupata hata mpira mmoja wa Kona' nashindwa kuelewa

'Kwamba Yanga haikupata hata mpira mmoja wa Kona' nashindwa kuelewa

Kwa kile kilichojiri pale kwa mkapa kupita kwetu kwenda makundi CCL ni miujiza na kudura za maulana tu...! Hata kama mpira unadunda ndo kona zote 6 zidundie kwetu?
Hata Manara alikuwa na imani kama hizi, ndio maana alisema ikiwa Liverpool atamfunga Barcelona angehamia rasmi kuishabikia Yanga. Mshabiki mwingine wa Simba alijiapiza kuwa iwapo UD Songo atamtoa Simba na Yanga akamtoa Township Rollers atampa huyo aliyemhoji simu ya kwake na ya mkewe na sh 100,000. Yaliyotokea kwenye viapo vile sijui kama yalitekelezwa. Kwa hiyo ndugu usiwe mtu wa kujiapiza hivyo.
 
Fiorentina - Juve, Juve jana kakosa kona hata moja Fiorentina akipata 10
 
Ila wamejitahidi sikutegemea kucheza vile nilidhani wangepigwa 3,ila kwa ball possession ile kule zambia kazi wanayo
 
YANGA bakini huko huko CCL huku CAF CONF sisi Azam tuna Jambo letu!
 
Ni jambo la kawaida ktk soka mkuu, kuna mwaka sikumbuki vizuri Manchester United dhidi ya Barca fainali ya UEFA. Man U chini ya mzee Ferguson nao walikosa hata kona moja, walikula 3-0 magoli ya Barca yalifungwa na David Villa, Pedro na Messi kama sikosei.
Mzee Ferguson kuna muda mpaka alikuwa anatetemeka kama simu iko ktk vibration.
Ilikuwa 3-1 goli la man u lilifungwa na rooney
 
Nashauri yanga wasajili nyuki wawe washambuliaji wao
 
Hata Manara alikuwa na imani kama hizi, ndio maana alisema ikiwa Liverpool atamfunga Barcelona angehamia rasmi kuishabikia Yanga. Mshabiki mwingine wa Simba alijiapiza kuwa iwapo UD Songo atamtoa Simba na Yanga akamtoa Township Rollers atampa huyo aliyemhoji simu ya kwake na ya mkewe na sh 100,000. Yaliyotokea kwenye viapo vile sijui kama yalitekelezwa. Kwa hiyo ndugu usiwe mtu wa kujiapiza hivyo.
Viva Yanga.. .! Daima mwiko mbele nyuma. Twendeni tukafanye maajabu ya Daudi kwa Goliath...!
 
IMG_20190915_133629.png
Yaani Zesco wapate mipira ya kona 6,afu Yanga no corner kick...!!! Sielewi
Utaelewaje nawe ni mbumbumbu?
Kwa mfano kwenye mechi hii, 5imba ilipiga kona ngapi? Ball possesion ilikuwa asilimia ngapi kwa 5imba?
 
View attachment 1208226
Utaelewaje nawe ni mbumbumbu?
Kwa mfano kwenye mechi hii, 5imba ilipiga kona ngapi? Ball possesion ilikuwa asili
View attachment 1208226
Utaelewaje nawe ni mbumbumbu?
Kwa mfano kwenye mechi hii, 5imba ilipiga kona ngapi? Ball possesion ilikuwa asilimia ngapi kwa 5imba?
Hapa unamaanisha Zesco sio ya mchezo mchezo na performance ile ni sawa kbs.Mateso yote haya sbb ya Kamusoko..! Lakini mimi sikubali kirahisi rahisi namna iyo.Kinyago tukichonge wenyewe halafu kitutishe wenyewe,Haiwezekani tunaenda kupindua meza kibabe Ndola.!!
 
Kuna kipi cha ajabu mchezaji kuifunga timu yake ya zamani?
 
Back
Top Bottom