Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Wewew Kweli mbumbumbu, Mechi ya Azam na Triangle Azam walimiliki mpira kwa aslimia 70 dhidi ya 30 za Triangle, Azam wamepiga Kona 12 dhidi ya Kona 0 za Triangle mwisho wa mpira Triangle 1- 0 Azam.Mpira ni magoli mamboyenu ya kona na umiliki wa mpira ndio yaliyosababisha mbumbumbu FC mtolewe na UD Songo.Yaani Zesco wapate mipira ya kona 6,afu Yanga no corner kick...!!! Sielewi
[emoji28][emoji28][emoji28],Mikia mwaka huu wanalo.Wewew Kweli mbumbumbu, Mechi ya Azam na Triangle Azam walimiliki mpira kwa aslimia 70 dhidi ya 30 za Triangle, Azam wamepiga Kona 12 dhidi ya Kona 0 za Triangle mwisho wa mpira Triangle 1- 0 Azam.Mpira ni magoli mamboyenu ya kona na umiliki wa mpira ndio yaliyosababisha mbumbumbu FC mtolewe na UD Songo.
Mtaje hata mmojaHuna striking force kona utapataje....yanga hawana mshambuliaji sijajua kwann hawakusajili hata internal Tanzanian player wa kushambulia mmoja.
Salim AyeeMtaje hata mmoja
Mashabiki wa Mikia bado wana homa ya UD Songo, homa hii haiwezi kwisha imeingia kwenye mifupa, homa hii itaisha watakapoona Yanga kafungwa kwenye marudiano na ZESCO, lakini Yanga wakishinda, homa ya Mikia itaongezeka.Mpira wa sasa haupo hivyo mkuu, kama assumption yako ingekuwa sawa basi Simba angemfunga nyingi UD Songo. Halafu mpira ulivyo wa ajabu jana UD Songo kachezea kwa Platinum FC ya Zimbabwe.
Acha kuifananisha Yanga na ibilisi mwekunduyanga na machester united hawana tofauti
Mbumbumbu mnateseka sana,kuanzia game ya RollersHapa unamaanisha Zesco sio ya mchezo mchezo na performance ile ni sawa kbs.Mateso yote haya sbb ya Kamusoko..! Lakini mimi sikubali kirahisi rahisi namna iyo.Kinyago tukichonge wenyewe halafu kitutishe wenyewe,Haiwezekani tunaenda kupindua meza kibabe Ndola.!!
Hawa mbumbumbu wanajitoa ufahamu sanaView attachment 1208226
Utaelewaje nawe ni mbumbumbu?
Kwa mfano kwenye mechi hii, 5imba ilipiga kona ngapi? Ball possesion ilikuwa asilimia ngapi kwa 5imba?
Tujikumbushe ya Rage. Sisi ni nani tukatae anavyowajua ndugu zake?Hawa mbumbumbu wanajitoa ufahamu sana
Mmmh Kazi ipo....Ball possession Yanga 38% ,Zesco 62% FT. Kwa takwimu hizi mlima ni mrefu huko Zambia
Nadhani Simba kawapoteza maboya [emoji1787][emoji1787][emoji23]Dalili hapa Kombe la shirikisho ndilo linalotuhusu huku CCL tumepotea njia..!
Yaani Zesco wapate mipira ya kona 6,afu Yanga no corner kick...!!! Sielewi
Nikweli kabisa
Tafadhali mkuu, kuna meza za kahawa misikitini!? Sikosoi kahawa, lakin ni miskiti gani hyo ina meza za kahawa!?Inaitwa mpira usio na malengo, kwa Yanga ni kitu cha kawaida sana. We umeona wapi timu inakalia kuroga tu kila mwaka ila katika mashindano ya kimataifa ni sifuri kabisa. Wanasahau kuwa mpira hauchezwi magazetini au kwenye meza za kahawa misikitini.
Hapa unaifananisha Yanga na Triangle. Tuache utani.. .!huwezi kuifananisha Yanga na Triangle. Yaani ni sawasawa na kuifananisha Yanga Afrika na Toto AfrikaWewew Kweli mbumbumbu, Mechi ya Azam na Triangle Azam walimiliki mpira kwa aslimia 70 dhidi ya 30 za Triangle, Azam wamepiga Kona 12 dhidi ya Kona 0 za Triangle mwisho wa mpira Triangle 1- 0 Azam.Mpira ni magoli mamboyenu ya kona na umiliki wa mpira ndio yaliyosababisha mbumbumbu FC mtolewe na UD Songo.
Hao ni Mambumbumbu hayajui yanayoongeahizo kona za zesco zimewapa magoli mangapi