'Kwamba Yanga haikupata hata mpira mmoja wa Kona' nashindwa kuelewa

Yaani Zesco wapate mipira ya kona 6,afu Yanga no corner kick...!!! Sielewi
Wewew Kweli mbumbumbu, Mechi ya Azam na Triangle Azam walimiliki mpira kwa aslimia 70 dhidi ya 30 za Triangle, Azam wamepiga Kona 12 dhidi ya Kona 0 za Triangle mwisho wa mpira Triangle 1- 0 Azam.Mpira ni magoli mamboyenu ya kona na umiliki wa mpira ndio yaliyosababisha mbumbumbu FC mtolewe na UD Songo.
 
[emoji28][emoji28][emoji28],Mikia mwaka huu wanalo.
 
Mpira wa sasa haupo hivyo mkuu, kama assumption yako ingekuwa sawa basi Simba angemfunga nyingi UD Songo. Halafu mpira ulivyo wa ajabu jana UD Songo kachezea kwa Platinum FC ya Zimbabwe.
Mashabiki wa Mikia bado wana homa ya UD Songo, homa hii haiwezi kwisha imeingia kwenye mifupa, homa hii itaisha watakapoona Yanga kafungwa kwenye marudiano na ZESCO, lakini Yanga wakishinda, homa ya Mikia itaongezeka.
 
Hapa unamaanisha Zesco sio ya mchezo mchezo na performance ile ni sawa kbs.Mateso yote haya sbb ya Kamusoko..! Lakini mimi sikubali kirahisi rahisi namna iyo.Kinyago tukichonge wenyewe halafu kitutishe wenyewe,Haiwezekani tunaenda kupindua meza kibabe Ndola.!!
Mbumbumbu mnateseka sana,kuanzia game ya Rollers
 
Records zinkuwepo ili kuzivunja imeanzia Chamazi na itaishia Levy Mwnawassa USIOGOPE kwa vipensi na rangi isiyokubalika kwenye katiba yetu TUJADILI TU wakati huo huo Shishimbi na wenzie wanavaa viatu vilivyokataliwa na katiba letu ???[emoji1630][emoji837][emoji815]
Mmmh Kazi ipo....Ball possession Yanga 38% ,Zesco 62% FT. Kwa takwimu hizi mlima ni mrefu huko Zambia
 
Yaani Zesco wapate mipira ya kona 6,afu Yanga no corner kick...!!! Sielewi

Inaitwa mpira usio na malengo, kwa Yanga ni kitu cha kawaida sana. We umeona wapi timu inakalia kuroga tu kila mwaka ila katika mashindano ya kimataifa ni sifuri kabisa. Wanasahau kuwa mpira hauchezwi magazetini au kwenye meza za kahawa misikitini.
 
Tafadhali mkuu, kuna meza za kahawa misikitini!? Sikosoi kahawa, lakin ni miskiti gani hyo ina meza za kahawa!?
 
Wewew Kweli mbumbumbu, Mechi ya Azam na Triangle Azam walimiliki mpira kwa aslimia 70 dhidi ya 30 za Triangle, Azam wamepiga Kona 12 dhidi ya Kona 0 za Triangle mwisho wa mpira Triangle 1- 0 Azam.Mpira ni magoli mamboyenu ya kona na umiliki wa mpira ndio yaliyosababisha mbumbumbu FC mtolewe na UD Songo.
Hapa unaifananisha Yanga na Triangle. Tuache utani.. .!huwezi kuifananisha Yanga na Triangle. Yaani ni sawasawa na kuifananisha Yanga Afrika na Toto Afrika
 
Back
Top Bottom