Kumbe maono ya nyerere ndo haya ya Africa ya sasa?
Licha ya kusifiwa sana, ukweli ni kwamba Nyerere hakuwa mtu wa maana hata kidogo, hata uhuru wa Tanganyika aliukuta almost uko tayari. Hakuna jitihada special ambayo personally alifanya.
Kwa hili la umoja wa afrika, unaweza sema alitumwa, ama alikuwa kibaraka wa wazungu, mostly likely alikuwa hivyo. Kama sivyo basi ni uroho wa madaraka ambao nkurumah aliuzungumzia.
Nkurumah was very right, kwamba watu wakinogewa na madaraka, hawatoweza kuungana tena kirahisi, labda yatumike mabavu kama ilivyokuwa kwa USA.
Unaweza kuona katika wote, ni yeye tu ndie alipingana na nkurumah, tena kwa nguvu nyingi mno, mpaka kutaka kushikana mashati, unaweza ukajiuliza, what was the motive Behind that, meaning, kama si yeye, Leo afrika ingekuwa moja.
I'm sorry to say, sijawahi kumuelewa huyo baba yenu hata siku moja, he was more of a talkative kuliko kuwa mtekelezaji, refer speech zake. Na ndio msingi wa siasa za ccm kuwa za porojo nyingi sana kuliko matendo, ndio walikoiga.
Hata Tanzania ya mauaji ya Leo, yeye ndio muasisi, alishiriki kuhujumu pia uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi ili mkapa na ccm ishinde, na huo ndio msingi wa yanayoendelea Leo tz.