Kwamoto huu wa CCM Ushetu CHADEMA mlikuwa sawa kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "

RAI KWA MAMA SAMIA SULUHU,


PATROBAS KATAMBI

HUSSEIN BASHE

WAANGALIWE KWA JICHO LA UWAZIRI KAMILA WANAJITUMA SANA HAWA VIJANA TUKIKAA KIMYA HATA MAWE YATASEMA,
Mpiga debe ni mmoja wapo au yupo mpiga debe kwa niaba?
 
Umew
Umewasahau wadau /washikadau muhimu, polccm, neck/shingo,karani wa viama/chungu kumesa achana na timu kijani inayoicheza ngoma yenyewe, hapo Kuna nini, uwanja sawia uko wapi? Au kujazana upepo tuu?
Kikubwa mkuu hapa tudai katiba mpya tu, mengine yote tutapoteza muda mkuu
 
Mpiga debe ni mmoja wapo au yupo mpiga debe kwa niaba?
Hawa vijana nikweli wanajituma sana, Hata mimi naunga mkono hoja wanafaa kuwa mawaziri kamili kama itampendeza mama,
 
Yaani wew mtoto wa Samia ni kilaza kweli kweli. Umesahau kuwa huyo mama yako akiwa Mbeya ktk uchaguzi alisema hata mkichagua wapinzani CCM itaunda Serikali? Polepole alisema ikiwepo tume huru CCM kabla ya ibada ya pili itakuwa imeanguka charii kifo Cha mende.
Utafiti wa kisayansi kwa mujibu wa shirika la Twaweza unaonesha kuwa CCM ni Chama Cha wajinga.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Maneno ya jukwaani ni maneno tu njooni tuone awanyang'nye Samia
 
RAI KWA MAMA SAMIA SULUHU,


PATROBAS KATAMBI

HUSSEIN BASHE

WAANGALIWE KWA JICHO LA UWAZIRI KAMILA WANAJITUMA SANA HAWA VIJANA TUKIKAA KIMYA HATA MAWE YATASEMA,
Ina maana Wasukuma bado hamuamini kama Magufuli ameshakufa?

Huyo Katambi hata kura za maoni hakushinda , imagine wana ccm wenyewe walimkataa halafu ndio unaleta hii takataka? Samia hawezi kufanya upuuzi wa yule kichaa.

Huyo Bashe naye aache kuvunja ndoa za watu kwa sababu ya ukwasi alionao ni chukizo kwa Mungu.
 


But Samia hana Roho kama yako, Samia ni mcha Mungu na anajua mchango wa Patrobas na Bashe
 
Mkuu haya majitu ya ovyo sana, yana mapolisiccm alafu yanasema chadema wamekimbia uchaguzi, ukiishabikia ccm lazima kweli hakikisha umejitoa ufahamu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…