Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Hebu angalia mwenyewe mafuriko ya watu Ushetu kwenye Kuhitimisha kampeni za Uchaguzi mdogo wa jimbo la Ushetu kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe Elias Kuandikwa,
Uchaguzi huo mdogo utafanyika kesho Trh 09|10|2021 Ukiwahusisha wagombea wa wawili washindani wa vyama vya CCM na ACT Wazalendo ikiwa ni baada ya Chadema kususia Uchaguzi huo,
#Chagua Emmanuel Cherehani kwa Maendeleo ya Jimbo la Ushetu,
View attachment 1968408kama kweli hao wakijan wanakubalika hebu tuwe na tume huru ya uchaguzi then tutaujua ukweli hayo mafuriko