Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
😍Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Hebu angalia mwenyewe mafuriko ya watu Ushetu kwenye Kuhitimisha kampeni za Uchaguzi mdogo wa jimbo la Ushetu kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe Elias Kuandikwa,
Uchaguzi huo mdogo utafanyika kesho Trh 09|10|2021 Ukiwahusisha wagombea wa wawili washindani wa vyama vya CCM na ACT Wazalendo ikiwa ni baada ya Chadema kususia Uchaguzi huo,
#Chagua Emmanuel Cherehani kwa Maendeleo ya Jimbo la Ushetu,
View attachment 1968408
Mnatengeneza na kuungaunga video na kutuletea JF Khaaa 😲😲Wewe mpumbavu kweli, upuuzi huu ndiyo wa kujivunia.View attachment 1968964
Hicho kibwagizo chako cha khaa kinatumiwa sana na mashoga sijui na wewe ni mmoja wao?Mnatengeneza na kuungaunga video na kutuletea JF Khaaa [emoji44][emoji44]
Alafu wewe unapata nini?cdm wangetema nyongo, si kwa moto huu wa mama.
Hilo "khaa" linatengenezwa kooni...kumbe ni "mash..ger" pekee ndio wenye makoo ya kukwaruza ee si ndio ee?!!Hicho kibwagizo chako cha khaa kinatumiwa sana na mashoga sijui na wewe ni mmoja wao?
Kelele za chura hazimtoi tempo kunywa maji.Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Hebu angalia mwenyewe mafuriko ya watu Ushetu kwenye Kuhitimisha kampeni za Uchaguzi mdogo wa jimbo la Ushetu kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe Elias Kuandikwa,
Uchaguzi huo mdogo utafanyika kesho Trh 09|10|2021 Ukiwahusisha wagombea wa wawili washindani wa vyama vya CCM na ACT Wazalendo ikiwa ni baada ya Chadema kususia Uchaguzi huo,
#Chagua Emmanuel Cherehani kwa Maendeleo ya Jimbo la Ushetu,
View attachment 1968408
Baada ya uchaguzi njoo utueleze kitatokea nini?Chadema Mama anaiua rasmi nawahakikishia,
Samia anafanya siasa za Upinzani wao watafanya nini?
Ujumbe murua kabisa kwa MATAGANIST wooote!!
Mi nadhan kipimo kizur ni pawepo fair grounds za kufanya siasa ndipo tutajua nan ni nan, mbali na hapo ni kujitekenya na kujipa genye mwenyewNawasalimu kwa Jina la JMT,
Hebu angalia mwenyewe mafuriko ya watu Ushetu kwenye Kuhitimisha kampeni za Uchaguzi mdogo wa jimbo la Ushetu kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe Elias Kuandikwa,
Uchaguzi huo mdogo utafanyika kesho Trh 09|10|2021 Ukiwahusisha wagombea wa wawili washindani wa vyama vya CCM na ACT Wazalendo ikiwa ni baada ya Chadema kususia Uchaguzi huo,
#Chagua Emmanuel Cherehani kwa Maendeleo ya Jimbo la Ushetu,
View attachment 1968408
Kwa hiyo unakubali kuwa wewe ni kitafunwa. Poa ngoja mukakaka wakusome utapata watejaHilo "khaa" linatengenezwa kooni...kumbe ni "mash..ger" pekee ndio wenye makoo ya kukwaruza ee si ndio ee?!!
Mnatuwekea mavideo ya kutengeneza ili tuwapigie makofi?!!Khaaa 😲😲
Yeyote anaweza kutukana na kudhalilisha wengine....Kwa hiyo unakubali kuwa wewe ni kitafunwa. Poa ngoja mukakaka wakusome utapata wateja
unanishangaza kidogo,sasa kama hakuna upinzani nguvu yote hiyo ya nini si mngekaa tu tukasubiri ushindi?Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Hebu angalia mwenyewe mafuriko ya watu Ushetu kwenye Kuhitimisha kampeni za Uchaguzi mdogo wa jimbo la Ushetu kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe Elias Kuandikwa,
Uchaguzi huo mdogo utafanyika kesho Trh 09|10|2021 Ukiwahusisha wagombea wa wawili washindani wa vyama vya CCM na ACT Wazalendo ikiwa ni baada ya Chadema kususia Uchaguzi huo,
#Chagua Emmanuel Cherehani kwa Maendeleo ya Jimbo la Ushetu,
View attachment 1968408
Ndiyo tatizo lenu ukweli mnaita matusi au uchocheziYeyote anaweza kutukana na kudhalilisha wengine....
Endelea na matusi yako mkuu.....
Una ushahidi kuwa mimi ni "miongoni mwa hao jamaa ulionidhihaki"?!!!Ndiyo tatizo lenu ukweli mnaita matusi au uchochezi
Unavyo viashiria vyooote.Una ushahidi kuwa mimi ni "miongoni mwa hao jamaa ulionidhihaki"?!!!
Mahakama haitakiwi kutenda haki kwa maagizo inatakiwa kiwe chombo huruMkuu Rais ameshasema mahakama zitende haki,
Mahakama itatenda haki pia kwa Mbowe na Sabaya
Endelea kufurahisha nafsi yako mkuu.....Unavyo viashiria vyooote.