Kwamoto huu wa CCM Ushetu CHADEMA mlikuwa sawa kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "

Nawasalimu kwa Jina la JMT,

Hebu angalia mwenyewe mafuriko ya watu Ushetu kwenye Kuhitimisha kampeni za Uchaguzi mdogo wa jimbo la Ushetu kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe Elias Kuandikwa,

Uchaguzi huo mdogo utafanyika kesho Trh 09|10|2021 Ukiwahusisha wagombea wa wawili washindani wa vyama vya CCM na ACT Wazalendo ikiwa ni baada ya Chadema kususia Uchaguzi huo,

#Chagua Emmanuel Cherehani kwa Maendeleo ya Jimbo la Ushetu,

View attachment 1968408
😍
 
Chadema haishiriki ila bado mnaiwaza na kuiongelea kila siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli hata nyie hamna raha mkiwa peke yenu
 
Hicho kibwagizo chako cha khaa kinatumiwa sana na mashoga sijui na wewe ni mmoja wao?
Hilo "khaa" linatengenezwa kooni...kumbe ni "mash..ger" pekee ndio wenye makoo ya kukwaruza ee si ndio ee?!!

Mnatuwekea mavideo ya kutengeneza ili tuwapigie makofi?!!Khaaa 😲😲
 
Nawasalimu kwa Jina la JMT,

Hebu angalia mwenyewe mafuriko ya watu Ushetu kwenye Kuhitimisha kampeni za Uchaguzi mdogo wa jimbo la Ushetu kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe Elias Kuandikwa,

Uchaguzi huo mdogo utafanyika kesho Trh 09|10|2021 Ukiwahusisha wagombea wa wawili washindani wa vyama vya CCM na ACT Wazalendo ikiwa ni baada ya Chadema kususia Uchaguzi huo,

#Chagua Emmanuel Cherehani kwa Maendeleo ya Jimbo la Ushetu,

View attachment 1968408
Kelele za chura hazimtoi tempo kunywa maji.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Nawasalimu kwa Jina la JMT,

Hebu angalia mwenyewe mafuriko ya watu Ushetu kwenye Kuhitimisha kampeni za Uchaguzi mdogo wa jimbo la Ushetu kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe Elias Kuandikwa,

Uchaguzi huo mdogo utafanyika kesho Trh 09|10|2021 Ukiwahusisha wagombea wa wawili washindani wa vyama vya CCM na ACT Wazalendo ikiwa ni baada ya Chadema kususia Uchaguzi huo,

#Chagua Emmanuel Cherehani kwa Maendeleo ya Jimbo la Ushetu,

View attachment 1968408
Mi nadhan kipimo kizur ni pawepo fair grounds za kufanya siasa ndipo tutajua nan ni nan, mbali na hapo ni kujitekenya na kujipa genye mwenyew
 
Hilo "khaa" linatengenezwa kooni...kumbe ni "mash..ger" pekee ndio wenye makoo ya kukwaruza ee si ndio ee?!!

Mnatuwekea mavideo ya kutengeneza ili tuwapigie makofi?!!Khaaa 😲😲
Kwa hiyo unakubali kuwa wewe ni kitafunwa. Poa ngoja mukakaka wakusome utapata wateja
 
Nawasalimu kwa Jina la JMT,

Hebu angalia mwenyewe mafuriko ya watu Ushetu kwenye Kuhitimisha kampeni za Uchaguzi mdogo wa jimbo la Ushetu kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe Elias Kuandikwa,

Uchaguzi huo mdogo utafanyika kesho Trh 09|10|2021 Ukiwahusisha wagombea wa wawili washindani wa vyama vya CCM na ACT Wazalendo ikiwa ni baada ya Chadema kususia Uchaguzi huo,

#Chagua Emmanuel Cherehani kwa Maendeleo ya Jimbo la Ushetu,

View attachment 1968408
unanishangaza kidogo,sasa kama hakuna upinzani nguvu yote hiyo ya nini si mngekaa tu tukasubiri ushindi?
 
Nchi hii ina watu wa ajabu kweli uchaguzi wa chama kimoja unashangilia Kama wa vyama vingi. Nguvu wanayoitumia ccm kuuwa vyama vingine wangeitumia hata nusu tu kupeleka maendeleo kwa wananchi kulikua hakuna ulazima wa kuwa na praise team ya vilaza kama mleta uzi
 
Back
Top Bottom