Unaambiwa ukienda huko kwa Mganga nenda na jina la Mganga maana wamejaa kama mchanga sasa watakupeleka kwa nani mahususi ??
IΕa mimi natamani uje uamsho wa Injili wa okole wa je uchawi ili kuondokana na laana ya vizazi na kutokufanikiwa πββοΈπ€¦ββοΈππ
Eeh Mwenyezi Mungu tuletee Neema na Rehema ΕΌako waache uchawi na ushirikina jamii hizi maana sio sifa njema uovu na laana