Kwamsisi

Kwamsisi

Unaambiwa ukienda huko kwa Mganga nenda na jina la Mganga maana wamejaa kama mchanga sasa watakupeleka kwa nani mahususi ??
Iła mimi natamani uje uamsho wa Injili wa okole wa je uchawi ili kuondokana na laana ya vizazi na kutokufanikiwa 🙆‍♂️🤦‍♀️😭😭

Eeh Mwenyezi Mungu tuletee Neema na Rehema żako waache uchawi na ushirikina jamii hizi maana sio sifa njema uovu na laana
 
Unaambiwa mahakama za secular zimaanza kufanya kazi miaka ya hivi karibuni huko.
Lakini miaka yote tangu Uhuru hakujawahi kuwa na mahakama.
Mahakama zilikuwepo za kadi tu 👌👌👌

Huruma nyie !
 
Back
Top Bottom