Kwamtogole on Tuwsday

Kwamtogole on Tuwsday

Huyu bi shost alitaka kumdhibiti mume basi kama ilivyoada aliwlekezwa kwa sangoma, ni Nyamwicho huyo alimwambia anataka kucha za mikono na za miguu za mumewe ili kazi ifanyike.

Bi shost kila akipiga hesabu za kukusanya kucha ni ngumu , mwisho alitafuta box tupu la kiberiti, alimtaimu mume amelala akaanza kukata kucha. Jamaa amestuka usingizini anamuona mke anamkata kucha, alifanya jicho moja na kujifanya anakoroma mke akakusanya kucha na kuziweka kwenye kiberiti. Akaenda mkono wa pili, na miguu wa kwanza, mume anaangalia.

Alipomaliza akahifadhi kibiriti kwenye draw chumbani na kwenda chooni kujisaidia kabla ya kulala . Mume aliamka akafungua draw na kuhamisha kibiriti kwenye briefcase yake. Dada anashindwa kuuliza mzigo wake uliokuwa kwenye draw umekwendavwapi.
kipindi wanakatana kucha we ulikuwepo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo bwana ana moyo. ...mimi nisingevumilia hata kidole kimoja
Kuna ile panya anang"ata na kupuliza

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Aisee ngekua mm nafkir
Hata ningetairiwa mara ya
Pili

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Hivi ni vituko Uswahilini, ohoo ohoo uswahilini kuna vituko​
 
Huyu bi shost alitaka kumdhibiti mume basi kama ilivyoada aliwlekezwa kwa sangoma, ni Nyamwicho huyo alimwambia anataka kucha za mikono na za miguu za mumewe ili kazi ifanyike.

Bi shost kila akipiga hesabu za kukusanya kucha ni ngumu , mwisho alitafuta box tupu la kiberiti, alimtaimu mume amelala akaanza kukata kucha. Jamaa amestuka usingizini anamuona mke anamkata kucha, alifanya jicho moja na kujifanya anakoroma mke akakusanya kucha na kuziweka kwenye kiberiti. Akaenda mkono wa pili, na miguu wa kwanza, mume anaangalia.

Alipomaliza akahifadhi kibiriti kwenye draw chumbani na kwenda chooni kujisaidia kabla ya kulala . Mume aliamka akafungua draw na kuhamisha kibiriti kwenye briefcase yake. Dada anashindwa kuuliza mzigo wake uliokuwa kwenye draw umekwendavwapi.

Huyo Nyamwicho, ni Bi Hawa Nyamwicho? Kama ndiye basi wewe ni Muhenga, umenikumbusha Gazeti la Mfanyakazi la enzi za Mwalimu, maana kulikuwa na Prof Vulata, MM Ezekiel, Bi Nyamwicho na Sheikh Yahaya
 
Haha basi wewe ni mhenga
 
Power Mwanakulya, Kibisa NgomaTroupe, Kwaya ya JKT mbweni ikiongozwa na John Komba

We hulali?, Kibisa sio mchezo, pia kulikiwa na muungano hapo wakina majuto, small, Tomato walikiwa vijana sana
Usisahau Nipashe na story zao za kuchonga, gazeti la sani lilikuwa kama sasa watu wanavyosubiri Apple watoe simu mpya
 
Ukiwa na nakala ya Sani kila mtu anakuwa rafiki yako darasani na mihogo ya bure utakula. Hiyo list ya kuazima unaweza kujikuta wewe ni wa 20
 
Ukiwa na makaka ya Sani kila mtu anakuwa rafiki yako darasani na mihogo ya bure utakula. Hiyo list ya kuazima unaweza kujikuta wewe ni wa 20

Haaa, sio mchezo tumetoka mbali kwelikweli, zamani tamu lakini full discipline kwa kila kitu?, we LY ngapi?
 
Haha unakumbuka mikate ya siha na mabasi ya ekarusi
 
Haha unakumbuka mikate ya siha na manado ya ekarusi

Dah Ekarusi Kumbakumba sio mchezo, zike gari zilikuwa clasic kuliko hizi za sasa za mchina, mlango wa kushuka ulikiwa wa katikati na kupanda ulikuwa wa mbele na nyuma watoto tulikuwa tunapenda kukaa katikati kwenye mzunguko
We muhenga
 
Dar ile ukiwa unaishi Makongo , Mbezi au Bunju inabidi uwe na usafiri wako
 
Haya ndo matatizo ya wanandoa kukosa hofu ya Mungu.

Kwanza inaonyesha huyu ni shomvi ndo mwenye matatizo. Manake angekua na de stur ya kumkata mumewe kucha wala isingeleta shaka.

Hata sangoma aliyeagiza anajua shida ni ya huyu mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom