kwamwenye uelewa juu ya hii course BA in marketing&public relations.

theChoosen1

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
45
Reaction score
9
jamani nahitaji kujua kama BA in marketng&public relations kama ni complicated course au tight kiasiflani,math baba mkwe kwangu ni hayo tu wakuu.
 
jamani nahitaji kujua kama ba in marketng&public relations kama ni complicated course au tight kiasiflani,math baba mkwe kwangu ni hayo tu wakuu.

wewe kiukweli ina concept ngumu lakin si tait ki vle kwan kamanda umepga comb gan adv na una drj la ngap?
 
Course ya kidada hiyo,ukishndwa utakua kilaza uliyepitiliza.
 
jamani nahitaji kujua kama BA in marketng&public relations kama ni complicated course au tight kiasiflani,math baba mkwe kwangu ni hayo tu wakuu.

kozi ngumu ni hizi hapa 1.engineering 2.medicine 3.law 4.architecture 5.accounting&finance z
 
jamani nahitaji kujua kama ba in marketng&public relations kama ni complicated course au tight kiasiflani,math baba mkwe kwangu ni hayo tu wakuu.

ukiambiwa ngumu ndio hutasoma au??
 
kozi rahis sana hii hapa muccobs wanafaulu hata wapigausingizi
 
Back
Top Bottom