tufahamishane ndugu.
tufahamishane ndugu.
Aliyesoma UDOM hawezi kukupa ukweli maana ukweli wake utakuwa unaonyesha jinsi alivyovurugwa na kupata digrii isiyo digrii. Swali lako ni vema ulielekeze kwa waajiri walio waajiri wanafunzi waliomaliza chuo hicho fake.
Kuna simu au television za SAMSUNG na kuna simu au television za SAMSANG. Ni ushauri tu, kabla hujanunua soma vizuri majina hayo. Kujenga jina na jina liuze bidhaa yako ni kazi! SAMSANG (UDOM) huwezi kulinganisha na SAMSUNG (UDSM, SUA, MZUMBE UNV. nk). Tafakari!

nnachojua mimi hakuna taasisi isiyokuwa na mapungufu.
nmesoma hapo na nmeajiriwa,wengi wanaoiponda udom hawaijui. nliwah kutembelewa na rafik zangu toka mzumbe walikaa udom zaid ya miez 3 walikuwa field,waliponda sana kwamba udom ni majengo lkn kadri muda ulivyozid kwenda walianza kutoa udhaifu wa huko walikotoka.
endelea kuchunguza zaidi ili ufanye maamuz sahihi.
kila la kheri
Ondoa Mzumbe hapo huwezi ukailingalisha na Ud na Sua. Mzumbe wanafunzi hawadiscontinue.
udom wala hakuna tatizo kijana wewe kama unapenda kusoma pale nenda mimi nimesoma udom ninaajira na kila kitu kiko sawa, pia mapungufu CIO udom tu hata huko sua, mzumbe yapo omba udom upate elimu kijana.
Ondoa Mzumbe hapo huwezi ukailingalisha na Ud na Sua. Mzumbe wanafunzi hawadiscontinue.
Tatizo Watanzania wengi wanapoona wenzao wanaendelea hujaa WIVU zisizo na sababu kwa kuanza kuponda maendeleo hayo in NEGATIVITY FORM.ONGEZA JUHUDIWakati UKIMWI unaingia nchini, tulishuhudia walioupata wakiwaambukiza wengine, kisa? Waathirika wasife peke yao bali wafe wengi! Siwezi kutofautisha maneno yako na waathirika wa UKIMWI wa wakati huo. Hata hivyo nawashukuru sana waathirika wa wakati huo maana walisaidia nchi kutafuta mikakati ya kuokoa watu na ninadhani hata mpango wa kutoa ARVs kwa waathirika ni zao lake! Nawe kazana tu kushawishi kuwa UDOM ni nzuri ili kuzalishwe watu wa aina yako wengi hata ifike wakati wa serikali kuona makosa yake. Nafikiri itachukua hatua sitahiki kuokoa taifa.
mi ni kijana wa kidato cha 6, nmekuwa na hamu sana ya kujiunga na chuo kikuu cha dodoma, lakini kila nnaemwambia hilo hunibeza na kusema eti udom si chuo cha kwenda.
Ninachotaka kufahamu ni ubovu na ubora wa chuo hicho hasa kutoka kwa wale mliosoma hapo ili niweze kufanya uamuzi sahihi muda utakapofika.
Natanguliza shukurani.
Tatizo Watanzania wengi wanapoona wenzao wanaendelea hujaa WIVU zisizo na sababu kwa kuanza kuponda maendeleo hayo in NEGATIVITY FORM.ONGEZA JUHUDI