Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Kwanini unaudanganya umma?? Hata news zinazozizima taifa (mf. Mwanafunzi wa Mzumbe ajiua baada ya kudisco, mzumbe unadisco kwa semester 1 tu n.k) huzijui.😕😕😕
Pole sana kilaza
Acha hizo wanafunzi wanapewa course work unasema nini wewe kilaza, unapata digrii ya kubebwa hafu unasema umebukua kwa nguvu yako!
acha kuongea usilolijua wewe ndugu wewe.mtoa maada sikia.wewe ukishafanya mtihani wa necta utajua wapi pa kwenda.kama upo vizuri nakushauri fanya choice hii . udsm,sua,mzumbe,udom kwa upande wangu.otherwise nenda unachotaka weewe.wanadamu huwa hawamalizi kusema maneno. na kingine cha mwisho.ila pia nasikia udom huwa hawaendi field .isipokuwa wanaosoma masomo ya science tu na ualimu.nje ya hapo huwa wanagraduate tu.HATA UWE UNAPENDWA NA UNASIFA NZURI NA MAARUFU KAMA OBAMA LAKINI BADO UTAPATA WAPINZANI KIBAO TUOndoa Mzumbe hapo huwezi ukailingalisha na Ud na Sua. Mzumbe wanafunzi hawadiscontinue.
ukimaliza ukifaulu vizuri,we leta matokeo yako hapa na mpangilio wa course unazohitaji kuzisoma watu watakushauri.lasivyo hapa watu wanapenda ligi tu za vyuomi ni kijana wa kidato cha 6, nmekuwa na hamu sana ya kujiunga na chuo kikuu cha dodoma, lakini kila nnaemwambia hilo hunibeza na kusema eti udom si chuo cha kwenda.
Ninachotaka kufahamu ni ubovu na ubora wa chuo hicho hasa kutoka kwa wale mliosoma hapo ili niweze kufanya uamuzi sahihi muda utakapofika.
Natanguliza shukurani.
acha kuongea usilolijua wewe ndugu wewe.mtoa maada sikia.wewe ukishafanya mtihani wa necta utajua wapi pa kwenda.kama upo vizuri nakushauri fanya choice hii . udsm,sua,mzumbe,udom kwa upande wangu.otherwise nenda unachotaka weewe.wanadamu huwa hawamalizi kusema maneno. na kingine cha mwisho.ila pia nasikia udom huwa hawaendi field .isipokuwa wanaosoma masomo ya science tu na ualimu.nje ya hapo huwa wanagraduate tu.HATA UWE UNAPENDWA NA UNASIFA NZURI NA MAARUFU KAMA OBAMA LAKINI BADO UTAPATA WAPINZANI KIBAO TU
acha kunitisha ndugu.basi INAONESHA hujui lolote kwa sasa kuhusu vyuo haupo updated wewe si upo kazini enzi za idm?na mzumbe imeanza lini kutoa diploma NIKUDAKE WEWE?kijana nilimaliza digrii wakati huo mzumbe ndo ilikuwa inaanza kutoa digrii nadhani hujui kuwa mzumbe walikuwa wanatoa diploma tu. Navyokueleza nakielewa na kamwe usidhani mimi bado mwanafunzi sawa!
hivi lini tutaacha kubishana kuhusu masuala ya chuo gani bora!mimi nipo udom mwaka wa pili sasa na cjaona tofauti yoyote between udom and other universities tunaenda filed tunakutana na wanafunzi wengi wa vyuo vyengine ikiwemo udsm!chuo ni jitihada zako mwenyewe kuna walim wangapi waliosoma udsm wanafundisha vyuo vyengine lakin wapo shallow!udom ya mwaka 2014 c o ile ya mwaka 2007 ambapo changamoto zilikuwa nyingi!na kila chuo hakikosi kasoro na changamoto,kuna vyuo 32 bongo udom chuo cha 11 kwa rank za tanzania mbona hamvisemi vyuo vilivyo chini ya udom kwe rank ya vyuo bora!naamini miaka 10 ijayo watu ndo wataona thamani ya udom kwani mti wenye matunda ndo hurushiwa mawe!mdogo wangu nakushauri umalize masomo yako ya A-LEVEL upate matokeo mazuri uchague kozi unayoipenda chuo chochote!me nilikuwa na matokeo mazuri tu but nilichaguwa udom kutokana na kozi ya Petroleum engineering na mpaka sasa cjutii kuwa hapa!jinsi watu wanavyokikandiya na kukiponda udom ndo jinsi wanafunzi wa udom wanavyokomaa kusoma kwa bidii!tutakutana kazini inshallah!
Hahahahahhahah wewe ni kilaza. Siku zote a hungry man ia an angry man. Umefeli umeshindwa ku-qualify kuja Mzumbe.....baki hukohuko kwa vilaza wenzio. Hizo hasira ulizonazo ungezihamishia kwenye vitabu na practicals usingekua hapo ulipo. Tena poleee
Hakika we ni GREAT THINKERusiende vyuo vinavysemwa vibaya, nenda vyuo vinavyosifiwa kama Havard and the like, ukitoka hapo unakuwa jiniaz kwelikweli na ajira nje nje! ila ninavyofahamu all public universities share the common challenges utofauti ni mdogo sana!
Mti hujulikana kwa matunda (kuni, mbao, kivuli, matunda, nk) yake. Taasisi za elimu, pamoja na mapungufu ambayo taasisi husika inaweza kuwa nayo; muhimu tunaangalia ubora wa wahitimu. Nina mfano hai, mwalimu mmoja aliajiriwa UDOM afundishe Botany toka SUA. Mwalimu huyo alitumia notes za botany za SUA kufundishia wanafunzi wa UDOM, wanafunzi waligoma wakidai wanafundishwa mambo ya Masters/PhD! Na watawala wa UDOM walimsihi mwalimu huyo aandae notes zingine kama wanafunzi wanavyotaka. Na ndivyo ilivyokuwa. Unategemea nini hapo? Ndio maana mimi naamini kuwa waajiri wanaweza kutoa jibu kwa mtoa mada na si wanafunzi waliosoma UDOM.
Acha kabobo za vijiweni kijana kma haujui kitu bora ukae kimya
mpeleke pale mdogo wako akasome hata master aliyemaliza udsm ndo utajua Udom ninn!?
Hahahahaha! Ungelijua navijuaje vyuo vya Tanzania walahi usingethubutu kuandika ulichokiandika. Kama unataka niandike uozo wa UDOM tangu mwanafunzi anapoandaliwa mpaka waliobahatika kuajiriwa na madudu wanayoyafanya; hakika nitafanya. Lakini kwa kuwa hatuko hapa kuumbuana bali kuambizana ukweli kwa faida ya wanaouliza maswali sina haja hiyo. Nawe jifurahishe kwa kuandika vitu usivyovijua hata kuniita mimi kijana! Kwa ufinyu wako wa kufikiri unafikiri kila anayeandika humu ni wa rika lako. Fikira hizo ni juha tu ndiye awezaye kufikiri. Kama nawe ni mmoja wao sawa! Endelea kuandika hivyo unavyoviandika upate nawe kufurahi maana huna vya kukufurahisha!
Hahahahaha! Ungelijua navijuaje vyuo vya Tanzania walahi usingethubutu kuandika ulichokiandika. Kama unataka niandike uozo wa UDOM tangu mwanafunzi anapoandaliwa mpaka waliobahatika kuajiriwa na madudu wanayoyafanya; hakika nitafanya. Lakini kwa kuwa hatuko hapa kuumbuana bali kuambizana ukweli kwa faida ya wanaouliza maswali sina haja hiyo. Nawe jifurahishe kwa kuandika vitu usivyovijua hata kuniita mimi kijana! Kwa ufinyu wako wa kufikiri unafikiri kila anayeandika humu ni wa rika lako. Fikira hizo ni juha tu ndiye awezaye kufikiri. Kama nawe ni mmoja wao sawa! Endelea kuandika hivyo unavyoviandika upate nawe kufurahi maana huna vya kukufurahisha!