kwan udom kuna tatizo gani?{waliosoma huko tafadhali mnijuze}


Ukweli na uongo siku zote havikai pamoja. Kabla sijajibu swali lako la Plato na alikosoma naomba nawe unisaidie kuniambia nani leo anaweza kuomba kama Musa hata Mana zianguke kama zilivyo anguka Musa alipoomba? Ukisoma habari za Socrates naamini utanielewa vizuri ni kwanini nimekuuliza hayo ya Musa na waombaji wa leo. Ni kweli kuwa kizazi cha leo hutuwezi kujilinganisha na kizazi cha wakati huo. Kama ambavyo bado napinga kuwa kulinganisha UD kwa mfano na UDOM kitaaluma si sahihi. Na maneno haya haimaanishi kuwa products za UD ni nzuri zote au za UDOM zote ni mbovu hapana. Lakini ni kweli kuwa UD ni wazuri kitaaluma ukilinganisha na UDOM. Hii inajidhihirisha katika ranking ya vyuo vikuu na ushindani wa ajira wahitimu wanapokuwa katika soko la ajira. Pia utendaji kazi wao wanapokuwa kazini.
 
Kwanini unaudanganya umma?? Hata news zinazozizima taifa (mf. Mwanafunzi wa Mzumbe ajiua baada ya kudisco, mzumbe unadisco kwa semester 1 tu n.k) huzijui.πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
Pole sana kilaza

Hivi disco ndiyo dhana ya ubora wa chuo?! Yaani na wewe unatoa taarifa ya msiba kutokana na discontinued kama dhana ya uthibitisho ya ubora wa chuo. Ficha ujinga usiingizwe mkenge kipumbavu.
 

mchunia rungu, nimekuelewa,UD nawakubali na hapana shaka kuwa wako kwenye kiwango bora. mi nafikiri udom pia tunahtaji kuwapa muda, UD kama sikosei wamekuwepo tangu 1961.Tusiwabeze sana udom. bado wanapambana na uchanga ukilinganisha na udom. yako mambo mengi. let nature and narture play their roles,at least fact in future will do a good evaluation and show the real results
 
Nipo UDOM,ndo ninayekifaham A-Z ni chuo kizur sana huyo asemaye kbaya yawezekan anatoa tathmin ya mwaka 2007 I love UDOM
 
UDOM bongela chuo kwa sasa,hata product zake zinaheshmika sa hiz kwene soko la ajira nilfanyaTP na wat wa UD hawajui kit
 
nashukuru sana wana jf, nimepata kitu. vipi kuhusu lecturers, wapo wa kutosha?
 
nmesoma udsm lakin juzi nlimpitia shemej yako wakat nakuja mwanza kikazi Udom ni pazuri sana na ni chuo kizuri tu hamna kukabana koo na lecturers njoo usome hapa dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…