stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Katika nchi zote za ukanda huu ni uganda pekee ambayo ina dalili zote za kua kinara wa uchumi,
Ikumbukwe pia uganda ilipigwa BAN kutoka kwa IMF kutokana na sheria inayohusiana na mapenzi ya jinsia moja, lakini toka vita dhidi ya hili bomba la mafuta kushindikana vikwazo hivo vimeondolewa bila uganda kurekebisha sheria zozote, skuelewa kwann mpaka nlipokuja kujua kuna sehem uganda kuna dhahabu tonnes mil 3, katika bei ya soko la leo ni karibia $14 trillion