Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Sijui tatizo lipo wapi au mfumo?Huyu jamaa kwenye utekelezaji Ni bure kabisaa, Watu wa Bumbuli wanamjua vizuri zaidi ya kundi lolote, yaani hivi anavyoonekana huku kwenye media hamna kitu, Wanajimbo wake ndio wanashuhudia kwa vitendo.
Actions speak louder than words..!Binafsi kwenye suala la kupanga na kupangua hoja,kutopanic pamoja na kuwa smart kwenye brain,January Makamba huwa namuona ni mwanasiasa nambari wani kuliko wote katika nchi hii hata kina Zitto,Lissu wakasome.Nachojiuliza watu wa namba hii huwa wanashindwaje kuhawilisha hayo maarifa kwenye utekelezaji halisi?Maana kwenye implementation katika wizaravya nishati kapata Grade F!
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😅🤣
Shukrani mkuu
Binafsi kwenye suala la kupanga na kupangua hoja,kutopanic pamoja na kuwa smart kwenye brain, January Makamba huwa namuona ni mwanasiasa nambari wani kuliko wote katika nchi hii hata kina Zitto, Lissu wakasome.
Nachojiuliza watu wa namba hii huwa wanashindwaje kuhawilisha hayo maarifa kwenye utekelezaji halisi?Maana kwenye implementation katika wizaravya nishati kapata Grade F!
View attachment 2761140
Wewe ndio unaanguka kwenye ulaghai wake. Ni watu wa maneno tu lakini ni wabinafsi wenye tamaa ya kujitajirisha wala hawana maarifa. Anashindwa kua mwizi na ku deliver wakati mmoja. Hawezi kupima aibe kiasi gani bila kuharibu kazi. Umeona kupata tu uwaziri kamleta dada yake tanesco kumpa michongo isiyokua na tija yoyote kwa kampuni. Eti media na utoaji habari yote kumjenga yeye na maharage kwa misifa ya uongo. Alipoingia tu waziri alitoa kandarasi kwa kampuni huduma ya taarifa ya kihindi eti kutoa huduma ya taarifa kwa management kitu ambacho kuna watanzania wangeweza kufanya kwa bei ndogo tu.Binafsi kwenye suala la kupanga na kupangua hoja,kutopanic pamoja na kuwa smart kwenye brain,January Makamba huwa namuona ni mwanasiasa nambari wani kuliko wote katika nchi hii hata kina Zitto,Lissu wakasome.Nachojiuliza watu wa namba hii huwa wanashindwaje kuhawilisha hayo maarifa kwenye utekelezaji halisi?Maana kwenye implementation katika wizaravya nishati kapata Grade F!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sjui kwanini..... matapeli na majizi makubwa, hua yanakua na uwezo mkubwa sana wa ushawishi ama kujieleza.
Hata Mkurugenzi wa TPA yuko vizuri kwenye kujibu hoja.Binafsi kwenye suala la kupanga na kupangua hoja,kutopanic pamoja na kuwa smart kwenye brain, January Makamba huwa namuona ni mwanasiasa nambari wani kuliko wote katika nchi hii hata kina Zitto, Lissu wakasome.
Nachojiuliza watu wa namba hii huwa wanashindwaje kuhawilisha hayo maarifa kwenye utekelezaji halisi?Maana kwenye implementation katika wizaravya nishati kapata Grade F!
View attachment 2761140
Kampeni Bado plzBinafsi kwenye suala la kupanga na kupangua hoja,kutopanic pamoja na kuwa smart kwenye brain, January Makamba huwa namuona ni mwanasiasa nambari wani kuliko wote katika nchi hii hata kina Zitto, Lissu wakasome.
Nachojiuliza watu wa namba hii huwa wanashindwaje kuhawilisha hayo maarifa kwenye utekelezaji halisi?Maana kwenye implementation katika wizaravya nishati kapata Grade F!
View attachment 2761140
Yule jamaa ni wa hovyo sana. Yeye na mzee wake ni watu wa hovyo.Huyo ni zaidi ya takataka sijui kwa nini wanazidi kumkumbatia.Ni bora umteue kingwendu uwaziri ataperfome kuliko huyu