Kwangu mimi January Makamba ndiye nayemuoa anajibu hoja na kuzipangua bila kuhamaki

Kwangu mimi January Makamba ndiye nayemuoa anajibu hoja na kuzipangua bila kuhamaki

Binafsi kwenye suala la kupanga na kupangua hoja,kutopanic pamoja na kuwa smart kwenye brain, January Makamba huwa namuona ni mwanasiasa nambari wani kuliko wote katika nchi hii hata kina Zitto, Lissu wakasome.

Nachojiuliza watu wa namba hii huwa wanashindwaje kuhawilisha hayo maarifa kwenye utekelezaji halisi?Maana kwenye implementation katika wizaravya nishati kapata Grade F!

View attachment 2761140
sasa si amekupatia pesa uje useme hivyo.
Yaani akupe pesa halafu umuone mmbaya kweli?
 
Binafsi kwenye suala la kupanga na kupangua hoja,kutopanic pamoja na kuwa smart kwenye brain, January Makamba huwa namuona ni mwanasiasa nambari wani kuliko wote katika nchi hii hata kina Zitto, Lissu wakasome.

Nachojiuliza watu wa namba hii huwa wanashindwaje kuhawilisha hayo maarifa kwenye utekelezaji halisi?Maana kwenye implementation katika wizaravya nishati kapata Grade F!

View attachment 2761140
Huyu bwana achelewi kusema kama vip njoeni mniue au kusingizia kama mnataka nafasi yake basi hamuwezi cos Rais amemuamini
 
Hata Mkurugenzi wa TPA yuko vizuri kwenye kujibu hoja.
Tuache masihala! Yani mtu anakuja kukueleza ule mkataba wa IGA ni wa Bandari ya Dar es Salaam tu wakati mkataba ukiusoma mwenyewe unajieleza wa Bandari za Bahari na Maziwa nchini Tanzania alafu unasema anauwezo wa kujibu hoja? Hoja anazojibu anajibu uongo alafu mnamsifu kweli? Tukiwa na Taifa viongozi wanasema uongo ili Taifa litapotea.
 
Back
Top Bottom