Kwangu mimi January Makamba ndiye nayemuoa anajibu hoja na kuzipangua bila kuhamaki

sasa si amekupatia pesa uje useme hivyo.
Yaani akupe pesa halafu umuone mmbaya kweli?
 
Huyu bwana achelewi kusema kama vip njoeni mniue au kusingizia kama mnataka nafasi yake basi hamuwezi cos Rais amemuamini
 
Hata Mkurugenzi wa TPA yuko vizuri kwenye kujibu hoja.
Tuache masihala! Yani mtu anakuja kukueleza ule mkataba wa IGA ni wa Bandari ya Dar es Salaam tu wakati mkataba ukiusoma mwenyewe unajieleza wa Bandari za Bahari na Maziwa nchini Tanzania alafu unasema anauwezo wa kujibu hoja? Hoja anazojibu anajibu uongo alafu mnamsifu kweli? Tukiwa na Taifa viongozi wanasema uongo ili Taifa litapotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…