Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
HahahKwanini hii Fedha mnayomsajilia msingemsajili Complete Package Player Makabi GENTAMYCINE Lolepo na siyo Mchovu Louis @adriz Miquissone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahKwanini hii Fedha mnayomsajilia msingemsajili Complete Package Player Makabi GENTAMYCINE Lolepo na siyo Mchovu Louis @adriz Miquissone
Mnafiki na Juha katika Ubora wako."Hakuna UMASIKINI MBAYA kama UMASIKINI WA FIKRA".
Mwalimu JK NYERERE.
Upo sahihi kabisa"Hakuna UMASIKINI MBAYA kama UMASIKINI WA FIKRA".
Mwalimu JK NYERERE.
Congolese Senior Radio Sports Reporter.
Nimesikitika sana kusikia kuwa ni kweli aliyewahi kuwa Mchezaji wetu Louis Miquissone anarejea Simba SC.
Mwaka jana Novemba na mwaka huu March kuna Kiongozi Mwandamizi wa Simba SC alienda Kumfuatilia na majibu yake GENTAMYCINE niliyasikia yakisema.
"Hakuna Mchezaji tena pale na kama Tajiri anataka Kutengeneza Kikosi chetu aachane nae haraka na atizame Wachezaji mahiri Wengine"
GENTAMYCINE nami kwa Jicho langu Kali na la Kiufundi nikalazimika kuomba Mikanda kadhaa ya Timu zake alizocheza na Kujiridhisha tena kwa 100% kuwa hana Uwezo wake alioondoka nao alipokuwa nasi Simba SC.
Kwanini hii Fedha mnayomsajilia msingemsajili Complete Package Player Makabi GENTAMYCINE Lolepo na siyo Mchovu Louis adriz Miquissone?
Sikubaliani na Usajili wake japo nawaheshimu Viongozi kwa kuamua Kumrejesha kwani huenda wakawa Wameona zaidi yangu hasa Kiufundi na hata Kibiashara ( Kimasoko ) kwa sasa na baadae.
Hakuna Mchezaji ambaye ananiuma kwa Kutosajiliwa na Simba SC yangu kama Makabi Lilepo ambaye ndiyo inasemekana ( kwa mujibu wa chanzo changu ninachokiamini kwa 50% tu ) kuwa ndiyo Namba Sita iliyoimbwa na Yanga SC kwa Mwezi sasa ( nikimaanisha ndiye atakayetambulishwa leo ) Usiku wa Saa 6 Kamili na Kesho Kutembezwa Jijini Dar es Salaam na kupelekwa zilipo Ofisi za CRDB Makao Makuu.