Kwangu mimi, mtu mwenye hela ndo ana akili!

Yes hapo hapo ndo akili inahitajika kufanya maamuzi kujifunza vitu
 
Kwa kuwa humwamini Mungu,unavyoamini katika hoja yako acha iwe hivyo.
Ila kwa tunaoamini Mungu,Mungu humpa mtu amtakaye nguvu ya kupata utajiri.
Tufanye kazi tu,huo ndio wajibu wetu,kupata ama kukosa ni mipango ya Mwenyezi Mungu.
Inawezekana hata kuwa mzima na akili ni yeye ndiye aliyetupa neema hii.Kuna wengine wapo barabarani mvua yao jua lao,hawana nguo wala chakula,tunawaita vichaa,hayo ni mapenzi ya Mungu
 
Naomba usome biblia vizuri watu wenye akili na maarifa ndo wanapata kumiliki mali mm naamin Mungu nikurekebishe
 
Nakubaliana na wewe Kwa asilimia kubwa japo si Kwa asilimia Mia moja...

Ukiangalia Ile top ten ya matajiri duniani, wale karibu wote walikuwa wako bright Sana darasani, Musk,Mark,Dell,Huang, Buffet,Bezos na wengine, hawa wote hawakuwa vilaza au average, ni top performer kitaaluma...Ukija Hapa Tanzania the late Mengi alikuwa kichwa Sana darasani, hata Ali Mufuruki naye lazima tu alikuwa kichwa coz Kwa Miaka Ile aliyohitimu na masomo aliyosoma , Ukija Rostam Aziz naye alikuwa Yuko vizuri Sana darasani..licha ya kwamba wako matajiri ambao wameshikwa mkono, wengine wamerithi but still Ukikaa nao utaona kabisa kichwani zimo hata kama Hana shule.

Ninachoona Mimi mtu ambaye kichwani zimo kama akijipata Kwa maana ya kujua Mimi nataka kuwa Fulani but katika uelekeo wa biashara lazima atatoboa Tu kitakacho mfanya achelewe ni mazingira, background Yake, jamii au nchi anayotoka Tu but kufanikiwa Kupo pale pale, not necessarily kuwa kama kina Dangote lakini somehow financially secure.
 
Bora wewe umenisapot wengine wanaona nakejeli watu lakin wazee wengi wenye hela akili zao zinacharge sio mchezo
 
Tangu ni experience utaftaji ulivyo mgumu, nawaheshimu Sana wenye hela

Guys it's not easy kugeuza 10m kuwa 50m

Hata kama kwa Ku shot lakini huo ujasili tu WA Ku shot nao nauheshimu maana siwezi chinja hata kuku
 
Hayo sio maoni Yako, huo ndio uhalisia, kama kweli msomi chekecha upate pesa mambo yasiwe mengi
 
Tangu ni experience utaftaji ulivyo mgumu, nawaheshimu Sana wenye hela

Guys it's not easy kugeuza 10m kuwa 50m

Hata kama kwa Ku shot lakini huo ujasili tu WA Ku shot nao nauheshimu maana siwezi chinja hata kuku

Kwa kweli hapo ndipo akili inahitajika kufanya maamuzi sahihi
 
Watu wanakesha maabara ili wagundue dawa za kukutibu, kinga nk
Madaktari wanakesha kuokoa maisha ya ndgu zako kwa kipato kidogo halafu unawaita ni viande mbele ya pipi tida na doto magari, jamaa yangu heshimu watu.
 
Akili zako zinafafana na mzee mmoja anahela balaa yeye ukienda kumshauri kuhusu project yoyote anayoitelekeza anakujibu hiyo akili ungiwekeza kutafuta hela usingekuja kwangu kunishauri
 
Kwan hakuna madaktari wenye pesa?
 
Akili zako zinafafana na mzee mmoja anahela balaa yeye ukienda kumshauri kuhusu project yoyote anayoitelekeza anakujibu hiyo akili ungiwekeza kutafuta hela usingekuja kwangu kunishauri

πŸ˜‚πŸ˜‚ umeona yeye mwenyewe tajiri anajua kua akili ndo inahitajika
 
Akili zako zinafafana na mzee mmoja anahela balaa yeye ukienda kumshauri kuhusu project yoyote anayoitelekeza anakujibu hiyo akili ungiwekeza kutafuta hela usingekuja kwangu kunishauri
Hii wenye hela wengi hutumia maneno haya
Lakini kila binadamu ana akili zake
Unaweza kushauriwa na mfanyakazi wako na ikawa idea nzuri sana

Sijawahi kumdharau mtu hata siku moja maana ushauri ni bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…