Kwangu mimi naona mbona maisha mazuri tu

Kwangu mimi naona mbona maisha mazuri tu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mimi bwana sometimes naona kama mfumo tuliopo mzuri kiasi fulani kwani mbona watu wanafanya wanakula, na bado wanacheka na bado wanashabikia mpira na bado wanaenda kule Dubai.

Mbona kama mambo yamekuwa mazuri jamani si tukubali tu au unaweza kuhisi labda nina tatizo la stress.. Hapana?

Sikilizeni mimi naona Rais yuko sawa ila tu kuna watendaji fulani wanasinzia. Sasa ndiyo tuulizane hao wanaikwamisha mambo ni kina nani je ni:

A: Wakurugenzi
B: Mawaziri
C: Watu wa sheria
D: Watalaam
E: Wana CCM
F: Ni kitu hiko ambacho kinafanya tusitoke tulipo tuka ishi kibiashara wote?
 
Upo sahihi

20240504_184237.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom