only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,527
..Baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kuisha na CCM kufanikiwa kuchakachua kura za jimbo la ifakara lakini bado akapata nafasi ya mbunge wa viti maalum kupitia CDM,japo ni mlemavu lakini kwa hakika amekuwa jembe la ukweli kwa chama changu makini cha CDM na amekuwa akiendelea kukubalika kwa kada mbalimbali za watu hasa vijana...ni watu wachache wenye hali kama ya dada huyu wanaoweza wakafanya kazi ya kukaa sehemu zaidi ya mwezi kwenye mapambano...amefanya hivyo Igunga na sehemu nyingine nyingi...
..Nimefanikiwa kumsikiliza live dada Regia kwenye mkutano mmoja hapa viwanja vya barafu DOM,she is energetic,patriotic,confident,responsible,and more than that she is beatiful....I like the way anavyoongea,ni makini na kwa hakika anaitaji pongezi kwa wabunge na wanasiasa wanawake kwa Tanzania....Na kwa chama changu amekuwa ni msaada sana kukijenga sehemu mbalimbali hapa nchini....
..Hongera dada Regia,keep it up!!