Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011...

sidhani kama kukubali mapungufu ni kujidharau.... hebu niambie aliyosema rejia kama kuna issue au ukilinganisha na perforamance za akina charles kitwanga, siphia simba nk??

sidhani kama kukubali mapungufu ni kosa

ila kujiona uko juu ya wenzako ni tatizo kubwa sana... na chracters zake ni nyingi sana, we just need to look in the mirror asubuhi especially after sala ili kupata wisdom zaidi ya kujijua

gaijin... i always respect you and i ahve called you "teacher" many times before but like many of your caliber (and mine), we forget that macho yataona mbali sana, lakini hayawezi kuona hata lips zilivyokaa wala uchafu wa kisamvu wa kwenye meno hadi yaone kioo

Awali ya yote, kukosoa Mawaziri Kivuli wa Chadema hakumaanishi tunakubaliana na Mawaziri wa Kikwete. Tushamwita Ngeleja kilaza, mchemfu, bogus na majina mengine mengi,na wapo waliosema anastahili hata kuchukuliwa hatua za ki-mob fulani hivi. Sophia Simba kwangu naona hana hata hadhi ya kujadiliwa, ni substandard hata kwa standards za serikali ya Kikwete. Ghasia? ....nae ni mule mule tu fungu la kurehemewa.

Tatizo lililopo ni sisi kutaka vigezo vinavyotumika kuwakosoa kina Ngeleja na Ghasia, visitumike kwa wabunge wengine wa Chadema. Tunapowakosoa hao wa CCM huwa "tunajiona tupo juu ya wenzetu" pia, au hii dhana inakuja tunapokosoa wabunge fulani fulani wa CHADEMA? Juzi tu hapo nilimnukuu Lema kuwa kajiita mwenyewe "makini" na ilizua mjadala mrefu, na sikuona pahala kuambizana kuwa tunachofanya ni kujiona "uko juu ya Lema" , wala suala hili sijawahi kulisikia tunapomkosoa Zitto Kabwe!

Mimi nampa respect Regia kama nnavyompa Kiongozi mwengine wa mwananchi, lakini hilo halinifungi kukosoa anayofanya wala kutafakari ingekuwaje angekuwa Waziri wa Vijana na Kazi. Hiyo ni haki yangu kikatiba. Na ukizingatia kuwa tayari mwenyewe alishasema hastahili kupewa Wizara yoyote, utaona kuwa tafakari yangu ya mustakbali wa Taifa iwapo Chadema ingeshinda, inakuwa justified.

I LOVE YOU AND I HOPE THAT YOU STILL LOVE ME AND YOU WILL TAKE A STEP FORWARD TO BUILD AT LEAST ONE LAYER OF SUPPORT TO PEOPLE IN NEED WHILE ADVISING THEM CRITICALLY RATHER THAT JUST CLINGING ON ONE SIDE OF THE LADDER

Amma kwa hili tupo pamoja sana, na nipo tayari kuchukua sio a step tu, bali steps nyingi mno kuhakikisha ninatoa support kwa watu wenye kuhitaji msaada.

*Unaniambia kuwa Mbunge wetu ni miongoni mwa people in need?
 
Get back to me on what?
Get the steppin' brah, I think independently.
It ain't personal, it just comes with the territory.....
She's cool, I don't know why you are trippin'.

You the one that's talking outta both sides of your mouth. Talking about shit that you can't back. So who's really really trippin' here?
 
Awali ya yote, kukosoa Mawaziri Kivuli wa Chadema hakumaanishi tunakubaliana na Mawaziri wa Kikwete. Tushamwita Ngeleja kilaza, mchemfu, bogus na majina mengine mengi,na wapo waliosema anastahili hata kuchukuliwa hatua za ki-mob fulani hivi. Sophia Simba kwangu naona hana hata hadhi ya kujadiliwa, ni substandard hata kwa standards za serikali ya Kikwete. Ghasia? ....nae ni mule mule tu fungu la kurehemewa.

Tatizo lililopo ni sisi kutaka vigezo vinavyotumika kuwakosoa kina Ngeleja na Ghasia, visitumike kwa wabunge wengine wa Chadema. Tunapowakosoa hao wa CCM huwa "tunajiona tupo juu ya wenzetu" pia, au hii dhana inakuja tunapokosoa wabunge fulani fulani wa CHADEMA? Juzi tu hapo nilimnukuu Lema kuwa kajiita mwenyewe "makini" na ilizua mjadala mrefu, na sikuona pahala kuambizana kuwa tunachofanya ni kujiona "uko juu ya Lema" , wala suala hili sijawahi kulisikia tunapomkosoa Zitto Kabwe!

Mimi nampa respect Regia kama nnavyompa Kiongozi mwengine wa mwananchi, lakini hilo halinifungi kukosoa anayofanya wala kutafakari ingekuwaje angekuwa Waziri wa Vijana na Kazi. Hiyo ni haki yangu kikatiba. Na ukizingatia kuwa tayari mwenyewe alishasema hastahili kupewa Wizara yoyote, utaona kuwa tafakari yangu ya mustakbali wa Taifa iwapo Chadema ingeshinda, inakuwa justified.

Amma kwa hili tupo pamoja sana, na nipo tayari kuchukua sio a step tu, bali steps nyingi mno kuhakikisha ninatoa support kwa watu wenye kuhitaji msaada.

*Unaniambia kuwa Mbunge wetu ni miongoni mwa people in need?

hapo kwenye red yes, she needs advice and guidance hasa kwenye strategies za communication... just like you and me

thanks much mamii, mpe his ana steve dii
 
Yatakushinda mwanamke ,povu limekutoka utafikiri kuandika kwako kutabadilisha chochote.We mwanamke gani unapinga kila kitu,kila kitu kwako ni kibaya utadhani wewe ni Malaika.Who are you kuchukua nafasi ya MUNGU?
Kuna kitu nimejifunza toka kwako,una dalili ya matatizo ya kisaokolijia haiwezekani upinge karibu kila kitu.Inawezekana umepitia moja ya haya!
1. Yawezekana umelelewa Na Mama/Baba wa Kambo ambao walikuwa wanakupinga kila unachofanya hivyo umeathirika kisaokolijia.
2. darasani ulikuwa unashika nafasi za mkiani pamoja Na kwamba ulikuwa unasoma sana Kama umetumwa Na kijiji vile hivyo unadhani Kupinga kila kitu ndio kuwa Na AKILI.

3. darasani ulikuwa unafanya vizuri sana lakini umeambulia kupata Kazi ambayo haualipwi vizuri,kifupi ni kuwa hujaridhika Na Kazi yako.Ndoto yako yakupata Kazi nzuri haijafikiwa bado hivyo umeathirika Kwahiyo kila mwanamke/ mwanaume aliyekuzidi kipato unawachukia.
4.boyfriend wako wa kwanza alikuwa anakaupinga hovyo hovyo,hakukuthamini hivyo mpaka Leo hujiamini.
5.upweke unakusumbua

Acha wivu Nenda kamuone mwanasaikolojia atakuwasaidia Na hili tatizo litakuwa limendoka.
Acha kucomplicate maisha ndugu maisha ni marahisi mno,
We toa povu lako hapa wenzako ndio Mbunge hivyo na ataendelea kuwa Mbunge mpaka 2015 MUNGU akimweka haiNa majority wanamkubali wewe ni nani hata umkatae,mwenzio ndio hivyo tena analamba lake 2 kwa Siku.Mwambie Na Looser mwenzako Kiranga maneno niliyokuambia ...

Nilipolishangaa Baraza la Mawaziri kivuli la Chadema, nilikuwa ninakwenda na go ahead ya Regia Mtema, aliyelidharau Baraza hilo na hususan kuwamo yeye mwenyewe, zamani sana hapa JF

Namnukuu
 
Yatakushinda mwanamke ,povu limekutoka utafikiri kuandika kwako kutabadilisha chochote.We mwanamke gani unapinga kila kitu,kila kitu kwako ni kibaya utadhani wewe ni Malaika.Who are you kuchukua nafasi ya MUNGU?
Kuna kitu nimejifunza toka kwako,una dalili ya matatizo ya kisaokolijia haiwezekani upinge karibu kila kitu.Inawezekana umepitia moja ya haya!
1. Yawezekana umelelewa Na Mama/Baba wa Kambo ambao walikuwa wanakupinga kila unachofanya hivyo umeathirika kisaokolijia.
2. darasani ulikuwa unashika nafasi za mkiani pamoja Na kwamba ulikuwa unasoma sana Kama umetumwa Na kijiji vile hivyo unadhani Kupinga kila kitu ndio kuwa Na AKILI.

3. darasani ulikuwa unafanya vizuri sana lakini umeambulia kupata Kazi ambayo haualipwi vizuri,kifupi ni kuwa hujaridhika Na Kazi yako.Ndoto yako yakupata Kazi nzuri haijafikiwa bado hivyo umeathirika Kwahiyo kila mwanamke/ mwanaume aliyekuzidi kipato unawachukia.
4.boyfriend wako wa kwanza alikuwa anakaupinga hovyo hovyo,hakukuthamini hivyo mpaka Leo hujiamini.
5.upweke unakusumbua

Acha wivu Nenda kamuone mwanasaikolojia atakuwasaidia Na hili tatizo litakuwa limendoka.
Acha kucomplicate maisha ndugu maisha ni marahisi mno,
We toa povu lako hapa wenzako ndio Mbunge hivyo na ataendelea kuwa Mbunge mpaka 2015 MUNGU akimweka haiNa majority wanamkubali wewe ni nani hata umkatae,mwenzio ndio hivyo tena analamba lake 2 kwa Siku.Mwambie Na Looser mwenzako Kiranga maneno niliyokuambia ...
Si mnamuona!!!....
Ndiye yeye.
 
Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru sana kwa namna ya pekee Na kwa dhati kabisa Nyani NGABU,MTM Na PakaJimmy kwa kutoa muda wenu Na kusimama kidete kunitetea,hakika Afriend in need is a friend in deed.Nawashukuru sana tena sana.Much respect!
 
dada, pia kuna waliotumia muda wao kukukosoa kwa nia njema, ukiwashukuru pia itakuwa vyema.. All in all binafsi pia ninaheshimu na kuthamini mchango wako kwa watanzania.
 
Kasome post yangu ya kwanza kwenye hii sredi nimewashukuru wote.Hii ilikuwa ni Maalum kwa hao niliowataja.
 
Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru sana kwa namna ya pekee Na kwa dhati kabisa Nyani NGABU,MTM Na PakaJimmy kwa kutoa muda wenu Na kusimama kidete kunitetea,hakika Afriend in need is a friend in deed.Nawashukuru sana tena sana.Much respect!

Kwanini inahitaji utetezi?
 
Yatakushinda mwanamke ,povu limekutoka utafikiri kuandika kwako kutabadilisha chochote.We mwanamke gani unapinga kila kitu,kila kitu kwako ni kibaya utadhani wewe ni Malaika.Who are you kuchukua nafasi ya MUNGU?
Kuna kitu nimejifunza toka kwako,una dalili ya matatizo ya kisaokolijia haiwezekani upinge karibu kila kitu.Inawezekana umepitia moja ya haya!
1. Yawezekana umelelewa Na Mama/Baba wa Kambo ambao walikuwa wanakupinga kila unachofanya hivyo umeathirika kisaokolijia.
2. darasani ulikuwa unashika nafasi za mkiani pamoja Na kwamba ulikuwa unasoma sana Kama umetumwa Na kijiji vile hivyo unadhani Kupinga kila kitu ndio kuwa Na AKILI.

3. darasani ulikuwa unafanya vizuri sana lakini umeambulia kupata Kazi ambayo haualipwi vizuri,kifupi ni kuwa hujaridhika Na Kazi yako.Ndoto yako yakupata Kazi nzuri haijafikiwa bado hivyo umeathirika Kwahiyo kila mwanamke/ mwanaume aliyekuzidi kipato unawachukia.
4.boyfriend wako wa kwanza alikuwa anakaupinga hovyo hovyo,hakukuthamini hivyo mpaka Leo hujiamini.
5.upweke unakusumbua

Acha wivu Nenda kamuone mwanasaikolojia atakuwasaidia Na hili tatizo litakuwa limendoka.
Acha kucomplicate maisha ndugu maisha ni marahisi mno,
We toa povu lako hapa wenzako ndio Mbunge hivyo na ataendelea kuwa Mbunge mpaka 2015 MUNGU akimweka haiNa majority wanamkubali wewe ni nani hata umkatae,mwenzio ndio hivyo tena analamba lake 2 kwa Siku.Mwambie Na Looser mwenzako Kiranga maneno niliyokuambia ...
Nyie ndio wale mnaodhani kusifiwa kila mara ni KUPENDWA na kukosolewa ni KUCHUKIWA. Ndio maana hatuendelei popote maana watu wengine bado hamjajifunza kupokea critism na kuzitumia kwa faida binafsi.Mnakalia kulalamika tu!!
 
I was letting this thread slide in view of it's cult of personality nature, but since you made mention of direct refrences to me, in the trademark Kiranga tradition, I will address everything toe to toe.

I am almost always passionate in my posts, if that is what you call "fiercely" then I will take that.

Kuhusu "personal" mie simjui huyu dada, kwa hiyo nashangaa hizi habari zinawezaje kuwa personal. Mie nawabalasa burlesques wote kuanzia kina Kikwete na Mwandosya mpaka Nchimbi Kigwangwalla na Mtema. Sasa itakuwaje nikimbalasa Kigwangwalla over and over watu hawaoni kwamba kuna kitu personal, lakini nikimgusa Mtema tu ishakuwa personal?

Habari ya mbunge mwanamke aliyefanya wizi kwenye hoteli mie ndio naisikia leo, ungekuwa na haki ya kunilaumu kama ungeona nimechangia kwa kutetea wizi huu, lakini sikuchangia, siijui hii habari, sasa utanilaumu vipi kwa habari ambayo hata siijui?

Mimi nilishaona kisirani cha Regia kabla hata ya hiyo story ya Slaa alivyokuja hapa JF na kuwatukana hata wafuasi wake wa nje ya Tanzania kwamba ni "wabeba box". Hili lilionyesha kwamba huyu si tu kisirani, bali hayuko allright upstairs pia. Mie mtu ambaye haheshimu hata wafuasi wake ni sioni kwa vipi ataheshimu kwa dhati viongozi wake, kama kuna heshima wengine wanaweza kusema ni heshima ya woga na show ya kutaka kupanda ngazi tu, watu genuine hawawezi kuwatukana wafuasi wao na ku exhibit kisirani multiple times.

Speaking of tact, mbunge kufukuza raia wa Tanzania jimboni kwake kwa misingi ya ubaguzi wa rangi iliyo unconstitutional is worse than tactless, ni garden variety of racism. Na hatuwezi kuacha tabia kama hii isikemewe, especially kama mbunge anasemwa kuwa mahiri.

Kasome post yangu ya kwanza kwenye hii sredi nimewashukuru wote.Hii ilikuwa ni Maalum kwa hao niliowataja.

Mkuu Kiranga, yaishe mkuu. Regia keshaomba msamaha kwa wote na kaahidi kuzingatia ushauri wote kutoka kwa waliomsifia na waliomkosoa.

So let's just let her be and wait if she will keep her promises.
 
umefanana na avatar yako kweli... mzigo ushakuzidi nguvu basi unakukukuruka tu

we kama hujaelewa nilichoandika nenda kalale..dunia ya kusifia wanasiasa uchwara imeshapita..nawe kama ni mmoja wao anza kuwaza kuhusu fani zingine...kwenye siasa za porojo hutafika mbali.dunia haitaki tena wanasiasa wa kuhutubia majukwaani..mfano ni Italy na greece!!na hao wa kwenu tutawaona watakakoishia..kama na hii huelewi basi buriani..
 
last post on this thread ni yako dada yetu! RIP!
 
we kama hujaelewa nilichoandika nenda kalale..dunia ya kusifia wanasiasa uchwara imeshapita..nawe kama ni mmoja wao anza kuwaza kuhusu fani zingine...kwenye siasa za porojo hutafika mbali.dunia haitaki tena wanasiasa wa kuhutubia majukwaani..mfano ni Italy na greece!!na hao wa kwenu tutawaona watakakoishia..kama na hii huelewi basi buriani..
kweli upumbavu hauna ujazo

bambo ni kenge mwingine
 
mi hata sichangii maana mh........................ tunatoa mambo nususu huku tukishindwa kutoa mantiki ya kille tunachoweka hapa. arguments zetu zinakosa kabisa logic mara nyingi. Nyie endeleeni na mjadala.
 
Back
Top Bottom