Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011...

Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011...

Unaona sasa....

Halafu mtu aje aniambie insult kama hiyo si hurtful.

By the way, wewe ni jembe?
Kwani mara ngapi watu wameitwa vilaza humu?
So what tha fudge is wrong with me callin her kilaza?....thats just my opinion.
Hivi hujioni unavyofagilia and at the same time hutaki watu wachangie maoni yao?
Mimi ni kilaza pia.......
OOOOOOOhhhhhh!! thats so hurtful!:A S embarassed:
 
My interest isn't conducting some little espionage inhere, but there is this friend inside JF who said that the worst enemy of a woman is her fellow woman.
I cant imagine a person going by a regarded female ID uttering such put-off words over a fellow sex!...Wanaume wenyewe mbona wanasitiriana?....Call it politics blaah! blaah!, or whatever dog, this is explicit ill-look over a friend!
What a joke!!
Kwahiyo shurti wanawake kusifia wanawake wenzao hata kama wanaosifiwa hawastahili/mtu hakubaliani na wanachofanya?Adui sio yule anaekukosoa bali ni yule anaekuumiza, na kama mtu anaumia kwa kukosolewa hata pale panapostahili basi ni vizuri akatafuta handaki ajifiche.

Misemo mingine haina maana bali tunailazimishia maana, wanaobaka wanawake ni wanawake?Wanaowatumia makazini na mashuleni ni wanawake?Wanaowanyanyasa kwenye ndoa ni wanawake?
Wote wanaokosoa/pingana na wanaume ni wanawake?Kama sio basi hata wanaume hawapendani. Kwanzia leo tusifiane hata yale yasiyofaa ili kuonyesha upendo kati yetu.
 
Kwani mara ngapi watu wameitwa vilaza humu?
So what tha fudge is wrong with me callin her kilaza?....thats just my opinion.
Hivi hujioni unavyofagilia and at the same time hutaki watu wachangie maoni yao?
Mimi ni kilaza pia.......
OOOOOOOhhhhhh!! thats so hurtful!:A S embarassed:

Wapi nimesema sitaki watu wachangie maoni yao?
 
What a joke!!
Kwahiyo shurti wanawake kusifia wanawake wenzao hata kama wanaosifiwa hawastahili/mtu hakubaliani na wanachofanya?Adui sio yule anaekukosoa bali ni yule anaekuumiza, na kama mtu anaumia kwa kukosolewa hata pale panapostahili basi ni vizuri akatafuta handaki ajifiche.

Misemo mingine haina maana bali tunailazimishia maana, wanaobaka wanawake ni wanawake?Wanaowatumia makazini na mashuleni ni wanawake?Wanaowanyanyasa kwenye ndoa ni wanawake?
Wote wanaokosoa/pingana na wanaume ni wanawake?Kama sio basi hata wanaume hawapendani. Kwanzia leo tusifiane hata yale yasiyofaa ili kuonyesha upendo kati yetu.
Umesoma bandiko lililopelekea post hiyo?
Umeona jinsi wanawake mnavyouana?....
Hatukatai constructive criticism, lakini lile bandiko lina kionjo cha woman to woman-talk...believe me or not!
 
Umesoma bandiko lililopelekea post hiyo?
Umeona jinsi wanawake mnavyouana?....
Hatukatai constructive criticism, lakini lile bandiko lina kionjo cha woman to woman-talk...believe me or not!
Wakati mwingine watu hua wanachagua cha kuona, hata yale ambayo hayapo kwasababu tu ya hisia zao binafsi.
 
Wakati mwingine watu hua wanachagua cha kuona, hata yale ambayo hayapo kwasababu tu ya hisia zao binafsi.

Well said Lizzy, sina hata cha kuchangia kutoka mabandiko yako haya mawili.

Mtu mwengine anachagua cha kuona mwisho anaweza kusema aliliandika alipokuwa ameshajifunga kibwebwe
 
Nilipolishangaa Baraza la Mawaziri kivuli la Chadema, nilikuwa ninakwenda na go ahead ya Regia Mtema, aliyelidharau Baraza hilo na hususan kuwamo yeye mwenyewe, zamani sana hapa JF

Namnukuu

Kuhusiana na hoja yako ya kuwa Cabinet yetu kuwa namapungufu nakubaliana na wewe.
...Kwa chama chochote cha upinzani unapounda baraza kivuli huangalii CV za watu pekee vile vile kuna suala zima la siasa,umaeneo,jinsia n.k.Hivi ni baadhi ya vigezo vilivyotumika.Ndio maana unawaona kina Joseph Mbilinyi,Lema,Regia na wengineo

Binafsi nakubaliana na wewe uwezo wangu ni mdogo kupewa Wizara,sio ya kazi na Ajira tu kama unavyoona wewe,sistahili kupewa Wizara yeyote ile
 
Nilipolishangaa Baraza la Mawaziri kivuli la Chadema, nilikuwa ninakwenda na go ahead ya Regia Mtema, aliyelidharau Baraza hilo na hususan kuwamo yeye mwenyewe, zamani sana hapa JF

Namnukuu

sidhani kama kukubali mapungufu ni kujidharau.... hebu niambie aliyosema rejia kama kuna issue au ukilinganisha na perforamance za akina charles kitwanga, siphia simba nk??

sidhani kama kukubali mapungufu ni kosa
 
ila kujiona uko juu ya wenzako ni tatizo kubwa sana... na chracters zake ni nyingi sana, we just need to look in the mirror asubuhi especially after sala ili kupata wisdom zaidi ya kujijua

Right on the kisser!
 
Tatizo la JF humu kuna watu wakisikia tu wanasiasa wa Chadema wanakosolewa tu basi wanaanza kutetea hata kama madudu, wanasahau mapenzi yetu kwa CCM kipindi cha mwalimu ndio yamesababisha tufike hapa.

Binafsi napenda kujua mazuri ya huyu mbunge bila kuelezea sifa za jumla za mbunge, maana ikiwa ni wanaCCM basi watu wanatukana tu kama kweli tunapenda Chadema tukubali kukosoa kwa kipimo kile kile tunachofanya kwa CCM.

Ila inawezekana kuna mapungufu kwa huyu mbunge haiwezekani watu wamsingizie hiyo tabia ya ukaidi, kuna jambo limejificha hapa......maana hamna ambaye ameelezea mambo aliyofanya.

Nichangamoto kwake kama kuna watu amewagusa kiasi cha kumuona MWANASIASA MAHIRI MWANAMKE 2011, hongera sana.
 
You've been swabbed. Check your vernacular before I get back to ya!
Get back to me on what?
Get the steppin' brah, I think independently.
It ain't personal, it just comes with the territory.....
She's cool, I don't know why you are trippin'.
 
Back
Top Bottom