Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Regia Mtema.....
Kwangu mimi....... a.k.a Im just sayin.
Unaona sasa....
Halafu mtu aje aniambie insult kama hiyo si hurtful.
By the way, wewe ni jembe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Regia Mtema.....
Kwangu mimi....... a.k.a Im just sayin.
Wewe una makusudi weye...haya we shauri yako!.Aluuuu.....
You wont get away with this!Regia Mtema.....
Kwangu mimi....... a.k.a Im just sayin.
Kwani mara ngapi watu wameitwa vilaza humu?Unaona sasa....
Halafu mtu aje aniambie insult kama hiyo si hurtful.
By the way, wewe ni jembe?
What a joke!!My interest isn't conducting some little espionage inhere, but there is this friend inside JF who said that the worst enemy of a woman is her fellow woman.
I cant imagine a person going by a regarded female ID uttering such put-off words over a fellow sex!...Wanaume wenyewe mbona wanasitiriana?....Call it politics blaah! blaah!, or whatever dog, this is explicit ill-look over a friend!
Is she some kind of a goddess or sumthin?You wont get away with this!
Kwani mara ngapi watu wameitwa vilaza humu?
So what tha fudge is wrong with me callin her kilaza?....thats just my opinion.
Hivi hujioni unavyofagilia and at the same time hutaki watu wachangie maoni yao?
Mimi ni kilaza pia.......
OOOOOOOhhhhhh!! thats so hurtful!:A S embarassed:
Hapa...Wapi nimekataza watu wasichangie maoni yao?
Hapa...
Umesoma bandiko lililopelekea post hiyo?What a joke!!
Kwahiyo shurti wanawake kusifia wanawake wenzao hata kama wanaosifiwa hawastahili/mtu hakubaliani na wanachofanya?Adui sio yule anaekukosoa bali ni yule anaekuumiza, na kama mtu anaumia kwa kukosolewa hata pale panapostahili basi ni vizuri akatafuta handaki ajifiche.
Misemo mingine haina maana bali tunailazimishia maana, wanaobaka wanawake ni wanawake?Wanaowatumia makazini na mashuleni ni wanawake?Wanaowanyanyasa kwenye ndoa ni wanawake?
Wote wanaokosoa/pingana na wanaume ni wanawake?Kama sio basi hata wanaume hawapendani. Kwanzia leo tusifiane hata yale yasiyofaa ili kuonyesha upendo kati yetu.
I can't!Weka nukuu.
Wakati mwingine watu hua wanachagua cha kuona, hata yale ambayo hayapo kwasababu tu ya hisia zao binafsi.Umesoma bandiko lililopelekea post hiyo?
Umeona jinsi wanawake mnavyouana?....
Hatukatai constructive criticism, lakini lile bandiko lina kionjo cha woman to woman-talk...believe me or not!
Sure!...you see it now eeh?Wakati mwingine watu hua wanachagua cha kuona, hata yale ambayo hayapo kwasababu tu ya hisia zao binafsi.
Wakati mwingine watu hua wanachagua cha kuona, hata yale ambayo hayapo kwasababu tu ya hisia zao binafsi.
Kuhusiana na hoja yako ya kuwa Cabinet yetu kuwa namapungufu nakubaliana na wewe.
...Kwa chama chochote cha upinzani unapounda baraza kivuli huangalii CV za watu pekee vile vile kuna suala zima la siasa,umaeneo,jinsia n.k.Hivi ni baadhi ya vigezo vilivyotumika.Ndio maana unawaona kina Joseph Mbilinyi,Lema,Regia na wengineo
Binafsi nakubaliana na wewe uwezo wangu ni mdogo kupewa Wizara,sio ya kazi na Ajira tu kama unavyoona wewe,sistahili kupewa Wizara yeyote ile
Nilipolishangaa Baraza la Mawaziri kivuli la Chadema, nilikuwa ninakwenda na go ahead ya Regia Mtema, aliyelidharau Baraza hilo na hususan kuwamo yeye mwenyewe, zamani sana hapa JF
Namnukuu
I can't!
ila kujiona uko juu ya wenzako ni tatizo kubwa sana... na chracters zake ni nyingi sana, we just need to look in the mirror asubuhi especially after sala ili kupata wisdom zaidi ya kujijua
Get back to me on what?You've been swabbed. Check your vernacular before I get back to ya!