TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
i think she took it back and apologized in public, something which is not common in our politicsSpeaking of tact, mbunge kufukuza raia wa Tanzania jimboni kwake kwa misingi ya ubaguzi wa rangi iliyo unconstitutional is worse than tactless, ni garden variety of racism. Na hatuwezi kuacha tabia kama hii isikemewe, especially kama mbunge anasemwa kuwa mahiri.